Viktor Yanukovych aliyekuwa rais wa Ukraine mwaka 2014 alikimbilia Urusi kufuatia maandamano makubwa ya wananchi yaliyopinga sera zake za upande wa Russia.
Bashar al-Assad aliyekuwa rais wa Syria mwaka 2024 alikimbilia na kupewa hifadhi ya kisiasa Moscow baada ya utawala wake kuanguka.
Nicolas Maduro rais wa Venezuela alikuwa mshirika mkuu wa Urusi. Mei 2025 alifanya mazungumzo na Putin ya kumlinda leo yupo mahabusu za Marekani.
Sultan Ali Keshtmand Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Afghanistan, mwaka 1991 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Ayaz Mutallibov Rais wa Azerbaijan Azerbaijan, mwaka 1992 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Abdumalik Abdullajanov Waziri Mkuu wa Tajikistan, 1994 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Askar Akayev Rais wa Kyrgyzstan, 2005 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Nikolai Tanayev Waziri Mkuu wa Kyrgyzstan, mwaka 2005 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Yevgeny Shevchuk Rais wa Transnistria, 2017 alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi.
Samia Suluhu Hasani Rais wa Tanzania, mwaka 2026 alikimbilia Urusi kuomba msaada.