Krismas ya mwaka huu yawa ya mfano, Chadema wahaha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maaan kama siku umekosa point ni hii. Mbona inakuwa hivi kila mwaka? Ww hata christmass unafanyia siasa kweli? Grow up man
 
Kweli hata jela watu wa mejaa hispitalini watu wamejaa msibani watu wamejaa, big up CCM.
Hata makambi ya wakimbizi Kakuma Kenya watu wamejaa, wanaokimbia vita Goma watu wamejaa wamejaa, kwenye kugawa chakula kwa wakimbizi Nyalugusu watu wamejaa, kwa waganga wa jadi watu wamejaa, madarasa chini ya miti watoto wamejaa. Watakoma hao Chadema
 
Haha si misifa ya kijinga. Ndio ukweli huo. Kama serikal isingeweka makao dar es salaam? Je wazaramo wangekuwa vizur kiuchumi?
Asilimia kubwa ya uchumi wa dar imeshikiliwa na wa kuja wala si wenyeji.
Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
 
Wewe Utakuwa mfuasi wa jiwe, unatumia Muda mwingi kumsafisha jiwe. Pole sana
 
Reactions: BAK
Uzuri ni kwamba gereza limetengenezwa kwa ajili ya watu... Kuna siku utajikuta nawe uko ndani na hapa hapa JF watakupandishia uzi....
 
Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Mzaramo maendeleo kwake ni ngoma ya kigodoro, mdundiko etc....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maaan kama siku umekosa point ni hii. Mbona inakuwa hivi kila mwaka? Ww hata christmass unafanyia siasa kweli? Grow up man
Yeye anakula na kulala kwa shemeji yake
 
Mwambie huyo kilaza wa chakubanga
Uzuri ni kwamba gereza limetengenezwa kwa ajili ya watu... Kuna siku utajikuta nawe uko ndani na hapa hapa JF watakupandishia uzi....
 
Kwahiyo Arusha huongoza kwa ukusanyaji wa kodi hapa Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…