Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.
Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !
Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Hata makambi ya wakimbizi Kakuma Kenya watu wamejaa, wanaokimbia vita Goma watu wamejaa wamejaa, kwenye kugawa chakula kwa wakimbizi Nyalugusu watu wamejaa, kwa waganga wa jadi watu wamejaa, madarasa chini ya miti watoto wamejaa. Watakoma hao ChademaKweli hata jela watu wa mejaa hispitalini watu wamejaa msibani watu wamejaa, big up CCM.
Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Uzuri ni kwamba gereza limetengenezwa kwa ajili ya watu... Kuna siku utajikuta nawe uko ndani na hapa hapa JF watakupandishia uzi....Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.
Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !
Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Mzaramo maendeleo kwake ni ngoma ya kigodoro, mdundiko etc....Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Jikite kwenye hoja
Yeye anakula na kulala kwa shemeji yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maaan kama siku umekosa point ni hii. Mbona inakuwa hivi kila mwaka? Ww hata christmass unafanyia siasa kweli? Grow up man
Chadema kwa sasa mnachoweza ni matusi tu
Uzuri ni kwamba gereza limetengenezwa kwa ajili ya watu... Kuna siku utajikuta nawe uko ndani na hapa hapa JF watakupandishia uzi....
Shangaa hawa jamaa wanapenda sana misifa.Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Kwahiyo Arusha huongoza kwa ukusanyaji wa kodi hapa Tz?Hayo madaraja, bandari na mambo mengine kibao unadhani yamejengwa kwa kutumia kodi zinazokusanywa kutoka kwa wazaramo? Kaskazini kuna utalii, madini, ufugaji na kilimo. Nenda kaangalie mchango wa hizi sekta kwa serikali. Na hilo jiji wala wazaramo hawalitendei haki' wafanya biashara wengi wametoka mbali.