Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

Ni ukosefu wa akili.. wajinga pekee ndo wanafanya kama mtoa mada.
 
Naunga mkono hoja.

Ingekuwa Yesu anataka tusherehekee siku yake ya kuzaliwa, angetueleza alizaliwa lini kupitia Roho MTAKATIFU.

25 DECEMBER ni siku ya IBADA ya muungu jua ya upagani.

Waliookoka, Roho mtakatifu anakataza tusisherehekee.
Una reference yoyote ya katazo la Roho Mtakatifu kwenye Biblia? Sijui mna complicated maisha kwanini? Kwani wewe unasheherekea upagani au unasheherekea ile furaha kuu ambayo malaika aliwaambia wachungaji kule makondeni kuwa anawaletea "habari njema ya furaha juu aitakayokuwa kwa watu wote"? Siku ni nini kwani? Unajua chochote kuhusu PURIMU lakini Mtumishi wa Bwana?
 
Tunawarejesha katikam mstari
Je mnaposheherekea Mazazi ya Mtume Muddy? Kuna sehemu yoyote Muddy aliagiza muweke Maulid ya kusheherekea mazazi yake? Je tarehe aliyozaliwa Muddy ndio hiyo mnayosheherekea mazazi yake? Tunaomba reference katika quran ya tarehe ambayo Muddy alizaliwa na pia Muddy akiwaagiza kusheherekea mazazi yake. Kuna vitu vingine sijui huwa mnawqza nini kushambulia Ukristo kila siku.
 
Christmas kwanza haina maana ni neno lilikopwa kutoka kwa Warumi. Na lilikuwa lina andikwa Xmass na hiyo Xmass ukiangalia kiundani ni ushetani mtupu
Acha tunaosherehekea tusherehekee. Wewe inakuuma nini kwa mfano. Ama inatupunguzia nini sisi?
 
yaani hakuna utachofanya tuache kusherehekea kila 25 disemba.
 
Kwakua alikua mjomba wako ninalazimika kuunga mkono hoja.
 
Maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari
 
Kifupi kwa Wakristo wa kweli huamini kuwa siku zote kuanzia jumatatu hadi jumapili.zote na mali ya Mungu hakuna siku ya shetani au Mwanga

Wapagani ndio waliamua kujigawia siku kuwa ohh hii ni siku yangu ya kuwanga au kuabudu jua ,mwezi nk

Hivyo ukiona mtu anatetea kuwa siku hii ni ya kuabudu wapagani jua na yeye ni.mpagani mwenzao

Mleta mada ni mpigania uhuru wa wapagani anapigania wapagani waachiwe siku yao Wakristo wasiiguse

Kumjua mtu au dini kuwa ya kipagani sio kazi kubwa angalia anapigania nini ? Kama anaamini kuwa katika siku za wiki kuwa iko siku ya wapagani inatakiwa isiguswe na Wakristo kusali au sherehe ya Kikristo jua ni mpagani anapigania haki za wapagani wenzie

Mleta mada ni mpagani mpigania haki za wapagani
 
Ishu sio tarehe, jambo la msingi ni kwamba alizaliwa.
 
Nikuwekee link ya Video YouTube?
Au ndio ile kusema Yesu hakuzaliwa tarehe 25 kwa kuwa Malaika alienda kwa Mariam mwezi wa sita?

Kama ndio ile, nimemdharau sana Sule na sijui ana elimu gani au hiyo Dr ni wa nini au ni uDR ni kama ule Uprofesa wa Mazinge ambaye hata kupiga Mswaki hawezi au wa Maji Marefu.

Kimsingi kama ndio hiyo anapotosha kwa Makusudi na kuwasomba nyie maamuma msio na Elimu dunia wala Elimu Akhera. Biblia ipo wazi na jamaa kwa namna moja au nyingine kafanya makusudi kupotosha.

Ni hivi, Ukisoma Kitabu cha injili kama ilivyoandikwa na Luka ile sura ya kwanza yote inaelezea matukio makubwa mawili. La kwanza la kuzaliwa kwa yohana Mbatizaji na la Pili ni la kizaliwa kwa Yesu.

Luka 1:1-23 "Inaelezea namna ZAKARIA Baba yake Yohana alivyotokewa na Malaika na kupewa maono ya kuzaliwa kwa Yohana. Luka 1:24-25 inaelezea Elizabeth kupata ujauzito na ilipotimia miezi 5 ya ujauzito wake akasema "Bwana amemuondolea aibu mbele ya watu"

Luka 1:26-35 inaeleza namna Malaika Gabriel alivyoenda kumpa habari njema Mariam kuhusu Mimba yake. Luka 1:36-38 "Malaika anamuaminisha na kuuonedha ukuu wa Mungu kwa Mariamu kwa kumueleza ndugu yake Elizabeth ni Mjamzito wa miezi 6 na anamwambia hakuna neno gumu kwa Mungu"

Mwezi wa sita ambao Malaika alikwenda kwa Mariamu haukiwa mwezi huu wa majira ya kibinadamu yaani mwezi June ila ulikuwa ni "mwezi wa sita wa Mimba yake aliyeitwa Tasa" LUKA 1:36 unaelezea vizuri tu kama unavyoonekana hapo chini. Mwambieni Sule aache Janja janja ndio maana alipelekeshwa na Ndacha hadi akajaa upepo. Msomi wa MMU hawezi simama na jenga hoja kwa Mkristo yoyote yule.

 
Hakuna wakukuzuia ni utamaduni uliouzoea kutoka kwa wakubwa Wako na Wazazi wako. Utafute ukweli.
Tunaomba andiko toka kwenye quran linalosema siku/tarehe ambayo Muddy alozalowa na pia sehemu ambayo muddy aliagiza muwe na "Maulidi ya Kukumbuka mazazi yake". Nalisubiri ukilipata nasilimu leo. Nitafutieni mke wa kiarabu naja kuongeza mke wa Pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…