Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 1,183
- 2,256
Mass ni mzunguko wa watu 10 kwenye meza. Hii tafsiri inapatikana wapi au unamsikiliza mazinge?Kwa kirumi X ni kumi
Mass ni mzunguko wa watu 10 kwenye meza .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mass ni mzunguko wa watu 10 kwenye meza. Hii tafsiri inapatikana wapi au unamsikiliza mazinge?Kwa kirumi X ni kumi
Mass ni mzunguko wa watu 10 kwenye meza .
Kosa kubwa sana kuwasililiza Mazinge na Sulle lazima watakumisleadHakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari.
Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7 Januari na ndio wakati wa sherehe zao za X-Mass.
Kosa lingine kubwa la Ukristo wa watu wengi ni kuhusu siku ya kuzaliwa Yesu. Wachungaji walikuwa wamelala kondeni na mifugo yao wakati wa kuzaliwa Kristo (Luka 2:8).
wachungaji wasingeweza kulala nje kondeni tarehe 25 Disemba inayodaiwa kuzaliwa Nabii Isa AS kwani ni kipindi cha baridi kali na watu hawawezi kulala nje kondeni kipindi hicho.
Tarehe 25 Disemba ilikuwa ni sikukuu ya Kipagani huko Ulaya kabla ya Ukristo kuingia. Kwa sababu hiyo Wakristo wa kweli wasisherehekee kuzaliwa kwa Kristo tarehe 25 Disemba. Kwa matendo, waumini wa kweli wa Kristo watumie siku za mapumziko ya watu wote, k.m Krisimasi, kuabudu pamoja popote iwezekanavyo."
Uingizwaji upotofu ndani ya mafundisho ya Nabii Isa AS kulikita mizizi zaidi katika karne za kati yaani karne za giza barani Ulaya.
Krismasi ni likizo ya kipagani
Kwa kweli kusherehekea Krismasi inahusu kudhihirisha mupagani wako wa ndani.
Injili hazitaji hata kidogo tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu na Wakristo wa mwanzo hawakupendezwa hata kidogo na kuzaliwa kwa Yesu (as). Ilikuwa karne tatu tu baada ya kuzaliwa kwa Yesu, wakati Ukristo ulipokuwa dini rasmi ya Milki ya Roma,
Krismasi iliadhimishwa kwa mara ya kwanza. Hata wakati huo, haikuadhimishwa sana. Krismasi ilipata umaarufu mwaka wa 800 WK, Charlemagne alipotawazwa kuwa maliki wa Milki ya Roma siku ya Krismasi. (Chimbuko la Krismasi: Ibada za Kipagani, Sherehe za Walevi na Zaidi).
Ili kufanya Ukristo upendeke zaidi kwa wapagani, viongozi wa kanisa la Kikristo la mapema waliiga mila za kipagani katika sherehe zao za Krismasi.
Krismasi, sikukuu ya ‘siku ya kuzaliwa kwa Bwana’, imeadhimishwa Desemba 25 tangu 354, kwa lengo la kukandamiza sikukuu ya kuzaliwa kwa mungu wa kipagani aitwae ''Sol Invictus'' (Jua Lisiloshindwa).
Waroma walikua wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa Mithra, mungu-jua wao, mnamo Desemba 25. Siku ya kuzaliwa ya Mithra ilionwa kuwa siku takatifu zaidi ya mwaka.
Ilikuwa desturi ya wapagani kusherehekea siku ile ile ya ishirini na tano ya Desemba siku ya kuzaliwa kwa Jua, ambapo waliwasha taa kwa ishara ya sikukuu. Katika sherehe hizi Wakristo pia walishiriki. Kwa hiyo, makasisi wa Kanisa walipoona kwamba Wakristo walikuwa na mwelekeo wa kusherehekea sikukuu hii ya kipagani, walichukua shauri na kuazimia kwamba Uzazi wa kweli wa Kuzaliwa kwa Yesu unapaswa kuadhimishwa siku hiyo… tarehe ishirini na tano mwezi wa Disemba ili kuhamisha ibada ya wapagani kutoka ibada ya kuabudu Jua hadi kwa yeye Yeus aliyeitwa Jua la Haki.
Viongozi wa kanisa walichagua tarehe hiyo “ili ipatane na sherehe ya kipagani ya Waroma ya ‘kuzaliwa kwa jua lisiloshindwa,’ wakati wa majira ya baridi kali.
View attachment 2850677
Kosa kubwa sana kuwasililiza Mazinge na SulleHakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari.

Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari.

Nani kasema ni Roman?Orthodox sio Roman
Ukraine wamesheherekea jana na Russia watasheherekea January 7, 2024Ulijuaje ?
Ni 6 Jan ambapo kanisa katoliki la magharibi (Latin church) husherehekea epiphany au tokeo la bwana ndio kanisa katoliki la mashariki Eastern Church husherehekea Christmas. Tafsiri yao siku hii ya Jan 6 ndio Yesu alijidhihirisha kwa mataifa yote kupitia kwa wale mamajusi!Hapa naomba Elimu kutoka kwa Wakatoliki wa hapa Bongo akina Bams, Yoda na wale wote Wenye Mapenzi Mema
Kwanini kuna Christmas mbili tofauti yaani tarehe 25 December na 7 January au kimantiki zaidi tuseme Wako wanaosherehekea Christmas Mwanzo wa mwaka na wengine wanaosherehekea mwisho wa mwaka
Mfano Ukraine walikuwa wanaosherehekea Christmas tarehe 7 January Lakini baada ya kugombana na Russia sasa wanasherehekea 25 December kuanzia jana
Elimu tafadhali bila kusahau Orthodox ni Catholic Church
Merry Christmas [emoji3]
Uchochezi huu. Kuna mwingine katuambia Christmas ni sikukuu ya wapaganiHapa naomba Elimu kutoka kwa Wakatoliki wa hapa Bongo akina Bams, Yoda na wale wote Wenye Mapenzi Mema
Kwanini kuna Christmas mbili tofauti yaani tarehe 25 December na 7 January au kimantiki zaidi tuseme Wako wanaosherehekea Christmas Mwanzo wa mwaka na wengine wanaosherehekea mwisho wa mwaka
Mfano Ukraine walikuwa wanaosherehekea Christmas tarehe 7 January Lakini baada ya kugombana na Russia sasa wanasherehekea 25 December kuanzia jana
Elimu tafadhali bila kusahau Orthodox ni Catholic Church
Merry Christmas 😀
Basi niseme Orthodox sio CatholicNani kasema ni Roman?
Ndio, Orthodox ni CatholicBasi niseme Orthodox sio Catholic
Maana umesema Orthodox ni Catholic Church
hawa waroman wana tafsiri nyingi sana ambazo kwenye biblia hazimoNi 6 Jan ambapo kanisa katoliki la magharibi (Latin church) husherehekea epiphany au tokeo la bwana ndio kanisa katoliki la mashariki Eastern Church husherehekea Christmas. Tafsiri yao siku hii ya Jan 6 ndio Yesu alijidhihirisha kwa mataifa yote kupitia kwa wale mamajusi!
mimi naona mambo haya yapo kisiasa zaidiNdio, Orthodox ni Catholic
Ndio sababu Ukraine sasa wapo kwa Papa!