Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

Kifupi kwa Wakristo wa kweli huamini kuwa siku zote kuanzia jumatatu hadi jumapili.zote na mali ya Mungu hakuna siku ya shetani au Mwanga

Wapagani ndio waliamua kujigawia siku kuwa ohh hii ni siku yangu ya kuwanga au kuabudu jua ,mwezi nk

Hivyo ukiona mtu anatetea kuwa siku hii mi ya kuabudu wapagani jua na yeye ni.mpagani mwenzao

Mleta mada ni mpigania uhuru wa wapagani anapigania wapagani waachiwe siku yao Wakristo wasiiguse

Kumjua mtu au dini kuwa ya kipagani sio kazi kubwa angalia anapigania nini ? Kama anaamini kuwa katika siku za wiki kuwa iko siku ya wapagani inatakiwa isiguswe na Wakristo kusali au sherehe ya Kikristo jua ni mpagani anapigania haki za wapagani wenzie

Mleta mada ni mpagani mpigania haki za wapagani a
 
Utajua Mwenyewe Ila Sisi Kama Utaratibu Unavyotaka Hatuteseki Popote
Iwe Halari Ama Ya Kipagani Twende Kazi Chap Chap
 
Hiyo furaha kuu siyo tarehe 25 December.

Tarehe hiyo imewekwa na wapagani.

Si vyema kusherehekea pamoja na wapagani. Lazima tujitofautishe nao.
 
Hiyo furaha kuu siyo tarehe 25 December.

Tarehe hiyo imewekwa na wapagani.

Si vyema kusherehekea pamoja na wapagani. Lazima tujitofautishe nao.
Mzee unasheherekea tarehe au tukio? We nawe IQ yako ya kupambanua mambo ni ndogo sana na ujuaji mwingi. We ni wa kupuuzwa.
 
Mzee unasheherekea tarehe au tukio? We nawe IQ yako ya kupambanua mambo ni ndogo sana na ujuaji mwingi. We ni wa kupuuzwa.
Walioset tarehe hiyo, wameiweka Rasmi Kwa miungu Yao.

So kukusanyika tarehe sawa na waabudu miungu kwako ni sawa?

Pia nionyeshe wapi Uliona Nabii au mtumishi AGANO la kale au jipya akisherehekea siku ya Kuzaliwa.

Quote andiko!!
 
Bro bwana. We dhamira yako inakutuma uabudu na kusheherekea siku au tukio bro? Mbona unajichanganya? Pia Nami naomba andiko toka Agano la kale na Agano jipya ambapo dhehebu lako limetajwa unaloabudu?
 
Bro bwana. We dhamira yako inakutuma uabudu na kusheherekea siku au tukio bro? Mbona unajichanganya? Pia Nami naomba andiko toka Agano la kale na Agano jipya ambapo dhehebu lako limetajwa unaloabudu?
Mimi nasherehekea Kila siku niamkapo husherehekea Upendo wa Yesu kuamua kuacha Mbingu na enzi Kuzaliwa na kufa Kwa ajili ya dhambi ZANGU.

Habari ya sherehe, nawaachia wapagani.
 
Hiyo furaha kuu siyo tarehe 25 December.

Tarehe hiyo imewekwa na wapagani.

Si vyema kusherehekea pamoja na wapagani. Lazima tujitofautishe nao.
Mpagani hana siku yake siku zote ni za Mungu ndiye aliumba siku mchana na usiku

Hakuna siku mpagani ana miliki nayo .

Umeelewa wewe mpagani mpigania haki za wapagani ikiwemo.kupigania haki za wapagani kuwa na siku yao ya kusherehekea ambayo wakristo wanatakiwa wakae mbali wasiiguse

Mpiganiaji wa haki za wapagani wewe una roho ya shetani mwenyewe na kidini chako

Mtu ukiona dini inapigania wapagani ni ya kipagani mia kwa mia kama ni muumini huko toka haraka

Wewe utakuwa unatokea dini za wapigania haki za wapagani kuwa waachiwe siku zao Wakristo wasiwaingilie

Mpigania haki za wapagani yeyote ni mfuasi wa shetani

Pepo la shetani lililoko ndani yako linalokutuma uwapiganie wapagani kuwa siku zao wanaabudu zisiingiliwe na Wakristo likutoke kwa Jina Yesu ili ubadilike uingie kupigania kuwa siku zote saba ni xa Mungu hakuna siku ya shetani wala Mwanga wala mpagani
 
Mimi nasherehekea Kila siku niamkapo husherehekea Upendo wa Yesu kuamua kuacha Mbingu na enzi Kuzaliwa na kufa Kwa ajili ya dhambi ZANGU.

Habari ya sherehe, nawaachia wapagani.
Nimekuambia, wewe IQ yako ndogo sana. Umesema unasheherekea kila siku alafu tena sherehe unawaachia wapagani. 😀😃😄😁😆😅
 
Tarehe 25 December hujui ni maadhimisho ya miungu ?

Hizi ni siku za mwisho, tunasema Kweli yote.
 
Nimekuambia, wewe IQ yako ndogo sana. Umesema unasheherekea kila siku alafu tena sherehe unawaachia wapagani. 😀😃😄😁😆😅
Ndo ujue kusherehekea huko Si sawa na unakokuongelea wewe,

Ninamaanisha Ibada ya 24/7.
 
Mbona hata kanisani wanafundisha hio sio tarehe yenyewe ila ni kumbukumbu hata pasaka,,, ukija kwenye upagani kila mtu na chama lake uchague upagani wa mrumi au upagani wa mwarabu
 
Tarehe 25 December hujui ni maadhimisho ya miungu ?

Hizi ni siku za mwisho, tunasema Kweli yote.
Biblia ndicho kitabu pekee kinachoeleza siku zote ni mali ya nani sio matabu yaku8kota majalalani Biblia pekee ndio jibu la hoja zote za Ukristo inajitegemea

Kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza kinaeleza kuwa siku zote ni mali ya Mungu
Iwe tarehe 25 au yeyote mwenye siku ni Mungu sio Muungu

Hiyo siku ya Miungu ni wapagani waliamua kujitangazia kuwa hii yetu ,kujitangazia hakuwafanyi wao wawe wamiliki.hawana hiyo hati miliki inabaki pale pale kuwa siku zote na tarehe zote ni mali ya Mungu muumba Mbingu na nchi sio Miungu

Uelewe hivyo mtetea miungu wewe usiyetetea Mungu umekuwa Mhubiri wa miungu sio Mungu

Wewe na kadini kako ni wahubiri wa Miungu wewe mpagani na kidini chako cha kipagani ndio maana unapigania miungu hiyo.miabudu tarehe 25 December kuwa iachwe iendelee kuabudu wakristo wasiiguse ni siku ya miungu.yako wewe ndio.maana unaitetea hiyo miungu hadi mishipa ya kwenye shingo inakutoka
 
Kama siku zote ni zake,

Why sasa itengwe trh 25 December?
 
Unatwanga maji kwenye kinu upate unga, we ni mpuuzi hakuna anayekuelewa, kwanza id yako tu inakutambulisha ni mdini. Peleka udini wako kule kwa wehu wenzako, umekazana kuchafua krismasi kana kwamba umelazimishwa usherehekee
 
Naacha kuusoma uzi wako pale unapomuita Yesu ni nabii Issa.
Yesu sio Issa na Issa sio Yesu.
kuzaliwa kwao na mambo waliyofanya ni sifa zinazowatofautisha sana.
 
Acha kuwashwawashwa na dini isiyokuhusu. Mtume wako alikuwa mbakaji, ameoa mtoto, muongo, muuaji, anaongea na mashetani , anapenda ngono, mbona hatuna muda na nyie? Acha wivu.
 
Mkristo wa kweli hajinasibishia na sherehe za X-mass
We ni mkristo? Unawashwa kweli wewe. Yani mnajikutaga mnajua ukristo kuliko wenyewe, embu shughulika na yanayohusu dini lako. Sisi mbona hatuwashwiwashwi na dini yenu? Hamjiamini au?
 
Pilau ni chakula tu lakini ile celebration ni halafu sio halafu Kidini hata Kisayansi pia. Luka 1:26 soma hapo na kuendelea.
Nyie watu mnapaswa kuelewa kitu hapa, Christmas sio kwamba ni siku aliyozaliwa Yesu ila ni kwamba tunasherehekea kuzaliwa kwa Yesu.
Maana yake ni kwamba tunasherehekea uwepo wa Yesu duniani kwa hiyo ingeweza kupangwa siku yoyote sio lazima iwe tar25 December.

Halafu ifike hatua mambo ya wakristo wayajadili wenyewe ndo inaleta maana zaidi kuliko waislamu kukaa kuanza kuongelea Christmas. Kusherehekea Christmas why huwa ni jambo linalowakera sana wakati si jambo la dini yenu? Shughulikieni habari zenu, hizi zingine mnawaachia wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…