Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
10,602
Reaction score
8,798
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
 
Wewe dogo una mambo ua kitoto sana.

Unapenda league sana hata kwenye mambo useless KABISA.

Childish
 
NILIKUWA NA MPELEKA DOGGO AENDEMOSHI NILICHOKIIONA N KAMA TUNAKIMBILIA UHAMISHONI JINSI UNAVYOTESEKA KUPATA USAFIRI SITOSAHAU KABISA

TUNAPOLEKEA TUTAAMUA KUWA WAZARAMO SIKU ZA SIKUKUUU SIO KWA MATESO YALE AISEE
 
Nasikia bia zimeadimika huko Kilimanjaro.

Bukoba huku tumepata upungufu wa Hennessy, Ciroc, Belaire, Grants, Macallan, Famous grouse, Gordons, smirnoff, Remy Martin, Jonnie Walker Green Label, Blue Label, Double Black Shivas, Jack Daniel, Captain Morgan.

Watu wamezichangamkia mno na kuhujumu

Hapa tunapanga kuagiza mzigo wa kutosha Uganda
 
Wingi wenu umezidi uwezo wa miundombinu ya usafiri mkuu!

Ndege ziko full hadi januari, Treni hajatosha wameongeza ruti, mabasi hayajatosha mmeongezewa kosta, nazo hazijatosha. WAWASAIDIEJE?
 
Good Lord,
Wacha niendelee kufukuza nzi watakaotua jirani na fanta yangu tu, maana kuna majina ningeona hapo bila kuambiwa ni pombe ningejua zangu ni majina ya waigizaji wa kimarekani..!!
 
Na Sisi wa Dar es Salaam tunashukuru Kuwakopesha kwa muda tu Mabalaa mengi ya Ujambazi, Udhulumati na Utapeli wana Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Wingi wenu umezidi uwezo wa miundombinu ya usafiri mkuu!

Ndege ziko full hadi januari, Treni hajatosha wameongeza ruti, mabasi hayajatosha mmeongezewa kosta, nazo hazijatosha. WAWASAIDIEJE?
Watuletee Boeing 780
 
Wingi wenu umezidi uwezo wa miundombinu ya usafiri mkuu!

Ndege ziko full hadi januari, Treni hajatosha wameongeza ruti, mabasi hayajatosha mmeongezewa kosta, nazo hazijatosha. WAWASAIDIEJE?
Hapo ndio ujue watu wanapenda kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…