Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuriView attachment 1658293View attachment 1658294View attachment 1658295View attachment 1658296
Nimeona na jengo la kanisa letu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Ni wapi? Huoni hiyo jezi imeandikwa Kilimanjaro?
Picha ya kwanza juu kushoto ni treni ya umeme, stesheni ya Moshi haiko hivyo na treni zetu haziko hivyo, wewe umedanganywa na huyo Dada anahudumia ndani ya behewa, tazama hayo mabehewa mengine uone tofauti, hata ndiyo yale tunaoneshwa treni ya mwendokasi ikitembea wakati hata reli haijakamilika.
 
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuriView attachment 1658293View attachment 1658294View attachment 1658295View attachment 1658296
Wekeni na picha za makazi yenu binafsi. Mnaweka za makanisa na mabank ili iweje!?
 
Back
Top Bottom