Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

Safi sana,nami nakazia HONGERENI SANA.na Mungu awazidishie baraka
 
Bila shaka wewe ni Bar med
 
NILIKUWA NA MPELEKA DOGGO AENDEMOSHI NILICHOKIIONA N KAMA TUNAKIMBILIA UHAMISHONI JINSI UNAVYOTESEKA KUPATA USAFIRI SITOSAHAU KABISA

TUNAPOLEKEA TUTAAMUA KUWA WAZARAMO SIKU ZA SIKUKUUU SIO KWA MATESO YALE AISEE
Shida ya mswahili ni planning... Hivi unashindwaje kwenda kukata tiketi 10 days before au hata wiki 2 kabla ya safari? Yaani eti tarehe 23 au 24 ndiyo uende Ubungo kukata tiketi? You must be joking aisee...
 
Wingi wenu umezidi uwezo wa miundombinu ya usafiri mkuu!

Ndege ziko full hadi januari, Treni hajatosha wameongeza ruti, mabasi hayajatosha mmeongezewa kosta, nazo hazijatosha. WAWASAIDIEJE?
Treni inapita jirani na nyumbani huko Kijijini, yaani kwa wiki ziko 3 na kila moja behewa 25 up to 30 kwa kweli TRL wanapiga pesa balaa...
 
Wingi wenu umezidi uwezo wa miundombinu ya usafiri mkuu!

Ndege ziko full hadi januari, Treni hajatosha wameongeza ruti, mabasi hayajatosha mmeongezewa kosta, nazo hazijatosha. WAWASAIDIEJE?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida ya mswahili ni planning... Hivi unashindwaje kwenda kukata tiketi 10 days before au hata wiki 2 kabla ya safari? Yaani eti tarehe 23 au 24 ndiyo uende Ubungo kukata tiketi? You must be joking aisee...
Hela yetu ni ya kuungaunga, ukiahidiwa utalipwa kesho ongeza kesho zako tano ndipo utalipwa. Tunanunua robo sukari kila siku, robo unga kila siku, robo mchele kila siku na supamaketi ni kharamu kwetu kwani hakuna robo, usitulaumu sisi walaumu waliotufikisha miaka sitini tukiwa na porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…