Krismasi za kukumbuka (sad memories)

Nakumbuka 2022 baada ya kumaliza chuo nipo Jobless pale Dar baada ya michongo yangu kufeli mazima nilikuwa Ghetto na mshkaji wangu mmoja tulipiga Ugali dagaa safii kabisa sikuwa na hata mia maana nakumbuka Dagaa zenyewe tulikopa kwa Mangi. Jioni kulikuwa na Mechi ya Yanga vs Azam kuna msamaria akanitumia Liten at least ndio nikaweza kutoka ndani.
 
Duh
Hapo ndo unaweza kuanza kuwaza kwani Mungu yupo kwa ajili ya watu gani? So sad
 
Sinyanyuki niuweniπŸ˜‚
Hahaha kuna mila na desturi zina dharililisha utu wa mtu.

Yeye afanyacho huko Dar ni mambo yake binafsi, kwanini wao wadhani anao wajibu kuwaeleza wao, na eti lazima asimame wakati akijieleza?
 
Safi sana, huo ndio uwanaume.

Kuwa na mali nyingi haumpi mtu ufalme au mamlaka kudharilisha mwenzake.

Kaweka mguu chini , sinyanyuki niuweni.
Hahahha
Hahaha kuna mila na desturi zina dharililisha utu wa mtu.

Yeye afanyacho huko Dar ni mambo yake binafsi, kwanini wao wadhani anao wajibu kuwaeleza wao, na eti lazima asimame wakati akijieleza?
Ni changamoto.. Imagine kapambana pengine mwaka mzima na hata hiyo nauli ya kurudi home kakopa halafu anakutana na kitu moto😭
 
Duh! Mwalimu alikula hasara ya Karne akaona iswe taabu akaamua kuacha na KAZI πŸ˜‚
 
2024, mwanangu alitegema kuoata mtoto bahati mbaya alizaliwa na mtoto bahati mbaya siku ya christmass.
Kwa upande wangu hii ni mbaya nilitegemea kuitwa babu..
Tunamshukuru Mungu.
 
Hahahha

Ni changamoto.. Imagine kapambana pengine mwaka mzima na hata hiyo nauli ya kurudi home kakopa halafu anakutana na kitu moto😭
Unajua hata kama mtu anataka kukusaidia usikubali akakudhalilisha. Kama nia yao ni kumsaidia, wampe huo msaada basi waanze upya, wamuulize matokeo mwakani.

Wao hawajajieleza wanafanya nini huko waliko, hakuna aliyewauliza. Mwamba kaenda nyumbani kama wao walivyokwenda, wafurahi, wasalimiane, hayo mengine waulizane private, na kila mtu aendelee kivyake.

Lakini haya mambo ya kupeana MIC halafu mtu anakwambia tuambie huko Dar es Salaam unafanya nini, sio poa kabisa.

Nimependa msimamo wake, Yani ni zile kwamba "maisha yangu ni yangu, nani kakwambia nataka kuwa kama wewe, hata kama una good life?"

Jamama mmoja nasema nyie mnao fanikiwa punguzeni ushauri, siyo kila mtu ana waona nyie ni wamaana, hivyo msidhani kila mtu anapenda kuwa kama nyie, au kufanya mfanyacho.

Ana maliza kwa kusema "To hell with your good life" Ukivaa suti ni mapenzi yako, mimi napenda jeans. Ukila kuku ni mapenzi yako mimi napenda matembele, your life your choice.

Hahaha ningekuwepo ninge mnunulia beer mshikaji, big up kwake.
 
Hahaha ningekuwepo ninge mnunulia beer mshikaji, big up kwake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2024, mwanangu alitegema kuoata mtoto bahati mbaya alizaliwa na mtoto bahati mbaya siku ya christmass.
Kwa upande wangu hii ni mbaya nilitegemea kuitwa babu..
Tunamshukuru Mungu.
Pole sana sana
 
Chrismass ya Mwaka 1989 ilinikuta na pacha wangu vibaya sana. Tulikuwa tumemaliza Darasa la SABA na matokeo ni kuwa HATUKUCHAGULIWA kwenda sekondari.

Niliona ndo mwisho wa maisha maana kukosa kwenda seko ilikuwa ni kama Huna future tena. Hatukuwa na furaha kabisa na sikukuu haikuwa na maana tena.
 
Sasa ndonaelewa wazazi walikua wanapitia presha ya kiwango kipi pale sikukuu zinapokuja na ela hakuna nyumbani,tulikua tunajiliza tukikosa nguo za sikukuu ila sasa ndonaelewa wanangu wanaponigizama sikukuu imefika na sina ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…