Kula ubwabwa na vyoda wewe acha kuuliza ulizaTunajua yesu alikata kauli saa tisa, na akazikwa kabla ya jua kuzama..
1. Je alifufuka saa ngapi?
2. Je sisi wafuasi wa yesu tunafuata andiko gani hadi tukeshe na kulala na marehemu muda mwing bila kumhifadhi?
3. Kwa nin tunatumia majeneza wakat bwana yesu hakuweka ndan ya jeneza?
PASAKA NJEMA
HahahahahaaKula ubwabwa na vyoda wewe acha kuuliza uliza
Kama nani?Kuna wengine ni madume humo, umewatagi
Kheri naipokea ila sikupangii bali nakushauri uache dhamb maan bwana kafufuka nasi. Ahsante!Khaaaaa unataka kunipangia, bahati yako leo pasaka na nimetoka kanisani. Acha nikutakie tu Heri!
Napenda kongoro hatari, acha tumalize mambo ya hapa kanisani, tuoneMshangazi dot com Karibu sana kigamboni tupate bia na supu ya kongoro
HaleluyaaaaAmefufuka kweri kweri
Nimezipata kanisani, labda nimeokolewa Kristo, kondoo niliyekuwa nimepoteaKuna siku kama nitakuwa nimekosea unisahihishe ulisema kuwa huiamini Biblia sasa sijui hizo habari za kufufuka kwa kristo umezipata wapi dada
Sasa mkuu ukimuona jamaa mfupi na ni mweupe kavaa jezi ya yanga anapiga kelele maeneo hapo ndio Mimi nipo na Subaru yangu nyeupe nabishana na madogo wa Simba SC hapa nishawapiga bia za bure Hawa madogoMkuu leo nipo daslamu.. na nipo hapa TYPE C kaunta nimevimba kibonge fulanni
Kuja tuenjoyNapenda kongoro hatari, acha tumalize mambo ya hapa kanisani, tuone
Wanaume akina nani tena?Mbona kwenye hii list Kuna wanaume mnataka kumchanganya yesu
Sawa endelea kula maisha, ongeza bia nakuja kulipaMkuu leo nipo daslamu.. na nipo hapa TYPE C kaunta nimevimba kibonge fulanni
Exactly brotherKula bata mkali tunaishi mara moja tu
Mungu alishapanga kabla ya Kwaresma na kupitia kalenda za kanisaHivi Nani huwa anapanga Tarehe za Pasaka ?
Kristo afufuke moyoni mwako, na wewe kondoo urudi kundini π .Shetani akizeeka anakuwa malaika.πππππ π
Acha drama we dada, Anyway pasaka njema.Heri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu.
Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na wapendwa bonjov , Eli Cohen , secretarybird , min -me , issac77 na mzee wangu Ushimen
View attachment 3309872