Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
Hebu msinitie dhambi mpya mimi maana za zamani zimeoshwa na Kristo mfufuka.Acha drama we dada, Anyway pasaka njema.
Hebu msinitie dhambi mpya mimi maana za zamani zimeoshwa na Kristo mfufuka.Acha drama we dada, Anyway pasaka njema.
Majibu ya maswali haya yatakusaidia nini Kerato? Heri ya Pasaka, tuko kwenye mood ya kusherehekea hatutaki kujiumiza vichwa na mambo magumu magumu.Tunajua yesu alikata kauli saa tisa, na akazikwa kabla ya jua kuzama..
1. Je alifufuka saa ngapi?
2. Je sisi wafuasi wa yesu tunafuata andiko gani hadi tukeshe na kulala na marehemu muda mwing bila kumhifadhi?
3. Kwa nin tunatumia majeneza wakat bwana yesu hakuweka ndan ya jeneza?
PASAKA NJEMA
Yesu aliacha Kanisa wapi ?Mungu alishapanga kabla ya Kwaresma na kupitia kalenda za kanisa
Baada ya kuzeeka si ndio ?😁😁 Huku ukisahau Yale mauno ulikuwa unakata enzi izo ?Kristo afufuke moyoni mwako, na wewe kondoo urudi kundini 😆 .
Ngoja wataalamu waje kukuelezea, mimi naenda zangu kunywa mvinyo na Vincenzo Jr kama bwana wetu alivyotuelekeza.Yesu aliacha Kanisa wapi ?
Bongo hapapoi hapaboi!Ndo nimeingiaa apa bongo dar Salma kumechangamkaa so powaa watu washaa anzaa kusherehekea pasak
Kwahiyo huko mnaenda kwa Bwana wenu sio ?Ngoja wataalamu waje kukuelezea, mimi naenda zangu kunywa mvinyo na Vincenzo Jr kama bwana wetu alivyotuelekeza.
We upo maeneo gan apa bongoBongo hapapoi hapaboi!
Na wakufungie zizini usije kupotea tenaNimezipata kanisani, labda nimeokolewa Kristo, kondoo niliyekuwa nimepotea
Hivi kuna tofauti gani kati ya Easter na PassoverNgoja wataalamu waje kukuelezea, mimi naenda zangu kunywa mvinyo na Vincenzo Jr kama bwana wetu alivyotuelekeza.
Moyoni mwanguUmemwona wapi?
Sijayasahau 😂 😂Baada ya kuzeeka si ndio ?😁😁 Huku ukisahau Yale mauno ulikuwa unakata enzi izo ?
😆
Zimenifikia, Halleluya kristo amefufuka.Salamu za pasaka ziwafikie
Dr am 4 real PhD
Hovering
secretarybird
makutupora
Bolotoba
@Intelligentbusinessman
Easter (Pasaka ya Kikristo)Hivi kuna tofauti gani kati ya Easter na Passover