Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
KumanyokoWakati mwingine huwa na type hovyo hovyo ili nijue kama kweli vijana wa JF ni wafuatiliaji wa vitu vidogo vidogo na hatimaye kwa leo wewe ndo mshindi.
KumanyokoWakati mwingine huwa na type hovyo hovyo ili nijue kama kweli vijana wa JF ni wafuatiliaji wa vitu vidogo vidogo na hatimaye kwa leo wewe ndo mshindi.
Kumanyoko.Kumanyoko
Bado lipo pilau hata ukoko freshi tu...weka ribs za mbuzi kidogo halafu leta paleee nimekaa 😀🤣Sawa mpwa, ukaribie nyumbani kuna pilau na mbuzi choma
Ila wewe, leo umeanza kunywea bia wapi? 😂 😂 😂 😆Wakati mwingine huwa na type hovyo hovyo ili nijue kama kweli vijana wa JF ni wafuatiliaji wa vitu vidogo vidogo na hatimaye kwa leo wewe ndo mshindi.
Thanks Mshangazi dot com..heri kwako pia na familia.Heri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu.
Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na wapendwa bon jov , Eli Cohen , secretarybird , min -me , issac77 na mzee wangu Ushimen
View attachment 3309872
Limeisha hilo 💯Bado lipo pilau hata ukoko freshi tu...weka ribs za mbuzi kidogo halafu leta paleee nimekaa 😀🤣
Hata soda sijanywa mkuu, niko tu vyema.Ila wewe, leo umeanza kunywea bia wapi? 😂 😂 😂 😆
Nimefarijika sana mkuuSalamu za pasaka ziwafikie
Dr am 4 real PhD
Hovering
secretarybird
makutupora
Bolotoba
@Intelligentbusinessman
sisi ni familia mkuu 👊Nimefarijika sana mkuu