Kristo amefufuka, Haleluya - Heri ya Pasaka kwenu wanaJF, tuma salamu za pasaka kwa umpendaye

Kristo amefufuka, Haleluya - Heri ya Pasaka kwenu wanaJF, tuma salamu za pasaka kwa umpendaye

Easter (Pasaka ya Kikristo)

Dini:
Ukristo
Maana: Kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa.
Chanzo: Sikukuu inayotokana na matukio yaliyoandikwa kwenye Agano Jipya la Biblia.
Tukio kuu: Ufufuo wa Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa.

Passover (Pasaka ya Kiyahudi)

Dini:
Uyahudi
Maana: Kumbukumbu ya jinsi Mungu aliwaokoa Waisraeli kutoka utumwani Misri.
Chanzo: Sikukuu inayotokana na matukio yaliyoandikwa kwenye Agano la Kale (Kitabu cha Kutoka).
Tukio kuu: “Kupita” kwa malaika wa mauti juu ya nyumba za Waisraeli huko Misri (walikunywa damu ya mwanakondoo kwenye milango).
Kumbe ni tofauti
 
Tunajua yesu alikata kauli saa tisa, na akazikwa kabla ya jua kuzama..
1. Je alifufuka saa ngapi?
2. Je sisi wafuasi wa yesu tunafuata andiko gani hadi tukeshe na kulala na marehemu muda mwing bila kumhifadhi?
3. Kwa nin tunatumia majeneza wakat bwana yesu hakuweka ndan ya jeneza?

PASAKA NJEMA
Tuko huru kufanya kila jambo ilimradi limpe Mungu utukufu
 
Back
Top Bottom