Kristo amefufuka, Haleluya - Heri ya Pasaka kwenu wanaJF, tuma salamu za pasaka kwa umpendaye

Majibu ya maswali haya yatakusaidia nini Kerato? Heri ya Pasaka, tuko kwenye mood ya kusherehekea hatutaki kujiumiza vichwa na mambo magumu magumu.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Easter na Passover
Easter (Pasaka ya Kikristo)

Dini:
Ukristo
Maana: Kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa.
Chanzo: Sikukuu inayotokana na matukio yaliyoandikwa kwenye Agano Jipya la Biblia.
Tukio kuu: Ufufuo wa Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa.

Passover (Pasaka ya Kiyahudi)

Dini:
Uyahudi
Maana: Kumbukumbu ya jinsi Mungu aliwaokoa Waisraeli kutoka utumwani Misri.
Chanzo: Sikukuu inayotokana na matukio yaliyoandikwa kwenye Agano la Kale (Kitabu cha Kutoka).
Tukio kuu: β€œKupita” kwa malaika wa mauti juu ya nyumba za Waisraeli huko Misri (walikweka damu ya mwanakondoo kwenye milango).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…