Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #81
π€£π€£π€£π nilikudanganyaMshangazi uliahidi utanipa tamu kwaresima ikiisha aya sasa nakula nazi na mihogo π
Nawewe pia ndugu yanguSalamu za pasaka ziwafikie
Dr am 4 real PhD
Hovering
secretarybird
makutupora
Bolotoba
@Intelligentbusinessman
Karibu sana mkuuNakuja kigamboni Leo kibada center pale kuja jamaa anatengeneza pweza supu nzuri saaana hapo
Asante saana.Karibu sana mkuu
Sawa mpwa, ukaribie nyumbani kuna pilau na mbuzi chomaJapo sio muumini wa Easter lakini asante aunt wangu Mshangazi dot com kwa salamu [emoji7] nimezipokea kwa moyo mkunjufu.
Asante sana nitakaribia mida ya jioni, ila mallerina asiwepo πSawa mpwa, ukaribie nyumbani kuna pilau na mbuzi choma
Umemfanya nini mtoto wa watu, mbona unataka asije πAsante sana nitakaribia mida ya jioni, ila mallerina asiwepo π
haha siri ya ndani πUmemfanya nini mtoto wa watu, mbona unataka asije
Nilivyo mfukunyuku nitajua tu π π πhaha siri ya ndani π
Asante sana mkuuSalamu za pasaka ziwafikie
Dr am 4 real PhD
Hovering
secretarybird
makutupora
Bolotoba
@Intelligentbusinessman
Nipo sinza Africa sana mkuu .... Asante sana mshua πNawewe pia ndugu yangu
Upo pande zipi
KRISTO YESU AFUFUKE MIOYONI MWETU
Karibu sanaa π
Asante sana mzee wangu πNimefurahi sana kusikia bwana wetu Yesu kafufuka.
Nawatakia membaz water wa JF pasaka njema.
Member water ndio niniNimefurahi sana kusikia bwana wetu Yesu kafufuka.
Nawatakia membaz water wa JF pasaka njema.
AimenAsante sana mzee wangu π
Nilikuwa nakujaribu ili nijue kama unaweza kutegua mitego.Member water ndio nini
Mkuu hukudhamiria bhanaNilikuwa nakujaribu ili nijue kama unaweza kutegua mitego.
Hongera kwa kugundua hilo kosa nililotenda makusudi kwa lengo la kukupima.
Wakati mwingine huwa na type hovyo hovyo ili nijue kama kweli vijana wa JF ni wafuatiliaji wa vitu vidogo vidogo na hatimaye kwa leo wewe ndo mshindi.Mkuu hukudhamiria bhana
Wewe pia, zingatia ushauri wako mwenyewe