INAUZWA KTM 690 Enduro R

Unajuwa watu wengi hawaijuwi KTM kama huna pesa kaa kimya soma comment tu kwa mfano unautajiri wa bl moja ukanunue pikpik ya 1.8ml

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina Ti
 
kweli mkuu nilinunua used moja srx 400 dirtbike 10 milion ila spare ndo balaa nikaliuza kwa jamaa wanamichezo
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina Ti
% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki

Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....

Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…