- Thread starter
- #41
kuna KTM mapaka milioni mia moja shiling uliza uambiweHaifiki milioni 40.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna KTM mapaka milioni mia moja shiling uliza uambiweHaifiki milioni 40.
Tatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina TiUnajuwa watu wengi hawaijuwi KTM kama huna pesa kaa kimya soma comment tu kwa mfano unautajiri wa bl moja ukanunue pikpik ya 1.8ml
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uonekane mwizi, kwa tarakimu, ulichoandika ni 40,000,000,000,000kuna watu wamezoea Sanlg ukimwambia milion 40,000,000 pikipiki moja anakuona mwizi
sawa unataka kwa bei gani au budget yako ni bei gani?Lazima uonekane mwizi, kwa tarakimu, ulichoandika ni 40,000,000,000,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, JF bhanaGari na iyo ipi inabeba abiria wengi!!!!!
Zaidi ya nnezimo CARINA TI ngapi kweli?
NIKAMPUNI KAMA HONDA AU KAWASAKI
SanLg itakuwa bei gani boss??Mnajua mnapoleta biashara zenu humu fikirieni na bei mnazoweka ubaoni nnavyojua mimi hiyo pikipiki aizidi 15000000
Sent using Jamii Forums mobile app
ktm sio honda wala suzuku wao ndo wapo hivyo hvyo ni wamarekaniKtm ni honda au suzuki au kawasaki?,nauliza tu nijue
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
kweli mkuu nilinunua used moja srx 400 dirtbike 10 milion ila spare ndo balaa nikaliuza kwa jamaa wanamichezombona unachanganya mada ndugu!ndio maana kuna mchina nanuza 1.2 inategemea na uwezo wako pia Pikipiki kama hii wananunua wapenzi wa pikipiki lazima ujue kuendesha pikipiki pili usiwe na kipato kidogo spare zake ni bei chain ikatika bei yake ni sawa na carina ti yako usije ukajichanganya
leta utuuzi kwa hiyo beiMnajua mnapoleta biashara zenu humu fikirieni na bei mnazoweka ubaoni nnavyojua mimi hiyo pikipiki aizidi 15000000
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh miliombili nikupatie HONDA 50 AU BOKIXA
% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepekiTatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina Ti
umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki
Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....
Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi sio msemaji.... ila ni mchovu.umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
KTM aikuhusu pita katafute post za baiskeli ndio size yako usipoteze muda wako
*aikuhusu = haikuhusu.KTM aikuhusu pita katafute post za baiskeli ndio size yako usipoteze muda wako