INAUZWA KTM 690 Enduro R

INAUZWA KTM 690 Enduro R

mbona unachanganya mada ndugu!ndio maana kuna mchina nanuza 1.2 inategemea na uwezo wako pia Pikipiki kama hii wananunua wapenzi wa pikipiki lazima ujue kuendesha pikipiki pili usiwe na kipato kidogo spare zake ni bei chain ikatika bei yake ni sawa na carina ti yako usije ukajichanganya
kweli mkuu nilinunua used moja srx 400 dirtbike 10 milion ila spare ndo balaa nikaliuza kwa jamaa wanamichezo
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina Ti
% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki

Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....

Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
 
Back
Top Bottom