KTN TV Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza

Bora Tundu Lisu aliamua kuzungumza kwa Lugha yetu ya Kiswahili, vinginevyo asingeeleweka kwa kiingereza chake broken cha Singida!

Inaonekana wewe ni FALA,ile hutuba ya pili aliyoitoa kwa kingereza ilisikika kwako ikiwa ya kiswahili
 
He he heeeee! Naona shishi baby anakutoa povu mpaka basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bahati mbaya sana nahisi hufuatilii mambo yake tu ndo maana anakushushua unaona ni suala serious! Huyu kwa kifupi ni comedian, pili hana hata mshipa wa aibu, hapo alifanya makusudi ili aweke headlines! Hiyo kwake ndo furaha,

Ukiongelea suala la kujua kiingereza kwa lengo la kibiashara, hilo ni wazo binafsi. Huyu shilole asiyejua kiingereza anaenda sana nje na anafanya biashara. Yakimzidi atajifunza, diamond aliona anahitaji kiingereza na kajifunza na anajua kinachomsaidia kufanya mambo yake!

Sema hapo kwenya mkiona tu mtz kangea broken yake be it makusudi au sio basi mnanunua omo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji1]
 
mshamba ni mshamba tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..hilo halibadilikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ati your your your your πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bila shaka ukitaka kumweza mbongo mwambie azungumze sntensi moja tu kwa kiingereza...hapo kwishaπŸ˜€πŸ˜€baada ya kumaliza sentensi hio mpeleke hospitalini ICU maana atakuwa yupo katika hali ya hatari
 
Sijui unamaanisha nini ukisema mbongo?! Hapa tuko na shilole tu
 
Mjinga ni mjinga tu hata asome shule kwa kiwango gani, vipi mtu asiyeweza kuzungumza kijaluo, kikamba, kikuyu, kiswahili au kichaga asiwe mshamba, lakini akishindwa English tu ndiyo awe mshamba?, msituambukize mawazo yenu ya kitumwa, sisi ni taifa kamili na lugha yetu ya Taifa, ninyi endeleeni kuolewa na wanaume wenzenu huko US, mnawaogopa wazungu kuliko mnvyomuogopa Mungu, stupid.
 
I see angels in the architecture
spinning in infinity.Amen! Hallelujah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…