KTN TV Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza

KTN TV Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza

nimecheka sana....hawa jamaa wako hivyo toka kwa rais mpaka kwa mwananchi wa chini....Diamond anajaribu sana skuizi ila hapo awali alkuwa ni broken english tu...itabidi mjifunze lugha ya dunia nyie washamba....kwa sasa mpaka wachina wanajifunza kiingereza kisa kubwa ni biashara...msiwe washamba washamba hivi😀😀😀😀if yuu yuu yuu yuu wirr you wirr...😀😀😀
He he heeeee! Naona shishi baby anakutoa povu mpaka basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bahati mbaya sana nahisi hufuatilii mambo yake tu ndo maana anakushushua unaona ni suala serious! Huyu kwa kifupi ni comedian, pili hana hata mshipa wa aibu, hapo alifanya makusudi ili aweke headlines! Hiyo kwake ndo furaha,

Ukiongelea suala la kujua kiingereza kwa lengo la kibiashara, hilo ni wazo binafsi. Huyu shilole asiyejua kiingereza anaenda sana nje na anafanya biashara. Yakimzidi atajifunza, diamond aliona anahitaji kiingereza na kajifunza na anajua kinachomsaidia kufanya mambo yake!

Sema hapo kwenya mkiona tu mtz kangea broken yake be it makusudi au sio basi mnanunua omo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Je Sizonje. Eti anatishia wapinzani "you can't me am another"

Na ile alicyokutana Na mseven " you know me and you photo copy together in many aspects".

Na ile alivyokuwa mbunge chato akawa anawatafsria wafadhili kutoka Canada wakiwaaga wanakijiji bye bye sinzonje akawa anawatafsria Nunua Nunua
[emoji23] [emoji1]
 
He he heeeee! Naona shishi baby anakutoa povu mpaka basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bahati mbaya sana nahisi hufuatilii mambo yake tu ndo maana anakushushua unaona ni suala serious! Huyu kwa kifupi ni comedian, pili hana hata mshipa wa aibu, hapo alifanya makusudi ili aweke headlines! Hiyo kwake ndo furaha,

Ukiongelea suala la kujua kiingereza kwa lengo la kibiashara, hilo ni wazo binafsi. Huyu shilole asiyejua kiingereza anaenda sana nje na anafanya biashara. Yakimzidi atajifunza, diamond aliona anahitaji kiingereza na kajifunza na anajua kinachomsaidia kufanya mambo yake!

Sema hapo kwenya mkiona tu mtz kangea broken yake be it makusudi au sio basi mnanunua omo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
mshamba ni mshamba tu.😀😀😀😀..hilo halibadiliki😀😀😀 ati your your your your 😀😀😀😀bila shaka ukitaka kumweza mbongo mwambie azungumze sntensi moja tu kwa kiingereza...hapo kwisha😀😀baada ya kumaliza sentensi hio mpeleke hospitalini ICU maana atakuwa yupo katika hali ya hatari
 
mshamba ni mshamba tu.😀😀😀😀..hilo halibadiliki😀😀😀 ati your your your your 😀😀😀😀bila shaka ukitaka kumweza mbongo mwambie azungumze sntensi moja tu kwa kiingereza...hapo kwisha😀😀
Sijui unamaanisha nini ukisema mbongo?! Hapa tuko na shilole tu
 
mshamba ni mshamba tu.😀😀😀😀..hilo halibadiliki😀😀😀 ati your your your your 😀😀😀😀bila shaka ukitaka kumweza mbongo mwambie azungumze sntensi moja tu kwa kiingereza...hapo kwisha😀😀baada ya kumaliza sentensi hio mpeleke hospitalini ICU maana atakuwa yupo katika hali ya hatari
Mjinga ni mjinga tu hata asome shule kwa kiwango gani, vipi mtu asiyeweza kuzungumza kijaluo, kikamba, kikuyu, kiswahili au kichaga asiwe mshamba, lakini akishindwa English tu ndiyo awe mshamba?, msituambukize mawazo yenu ya kitumwa, sisi ni taifa kamili na lugha yetu ya Taifa, ninyi endeleeni kuolewa na wanaume wenzenu huko US, mnawaogopa wazungu kuliko mnvyomuogopa Mungu, stupid.
 
I see angels in the architecture
spinning in infinity.Amen! Hallelujah!
 
Back
Top Bottom