He he heeeee! Naona shishi baby anakutoa povu mpaka basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bahati mbaya sana nahisi hufuatilii mambo yake tu ndo maana anakushushua unaona ni suala serious! Huyu kwa kifupi ni comedian, pili hana hata mshipa wa aibu, hapo alifanya makusudi ili aweke headlines! Hiyo kwake ndo furaha,
Ukiongelea suala la kujua kiingereza kwa lengo la kibiashara, hilo ni wazo binafsi. Huyu shilole asiyejua kiingereza anaenda sana nje na anafanya biashara. Yakimzidi atajifunza, diamond aliona anahitaji kiingereza na kajifunza na anajua kinachomsaidia kufanya mambo yake!
Sema hapo kwenya mkiona tu mtz kangea broken yake be it makusudi au sio basi mnanunua omo[emoji12] [emoji12] [emoji12]