Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Mpaka wanakera
 
eeeh sawa tutapiga mara moja kwa siku maongezi maximum 2mnts
 
Huo muda sawa,sijui wanautoaga wapi
 
natania pia
tukiwa hatuna mada serious mazungumzo yakizidi dakika 5 huwa naboeka
kawaida ni twice a day kama hayupo, akiwepo labda sms ya nipike nini baaasi
Ewaaaa hapo Sawa sasa

Ila hapo kwenye nipike nn
Binafs hua spend hlo swali
Maana anajua nn ambacho sili.
Ila me nkipata chochote kimepikwa anajua
Nakula najilia nashiba zangu.
 
Ewaaaa hapo Sawa sasa

Ila hapo kwenye nipike nn
Binafs hua spend hlo swali
Maana anajua nn ambacho sili.
Ila me nkipata chochote kimepikwa anajua
Nakula najilia nashiba zangu.
wangu ni mtu wa kulakwa mood hivyo ni muhimu kujua mood ya siku hiyo imempeleka wapi
only kama tumefurahishana vinginevyo utakula utachokuta
 
wangu ni mtu wa kulakwa mood hivyo ni muhimu kujua mood ya siku hiyo imempeleka wapi
only kama tumefurahishana vinginevyo utakula utachokuta
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mood ikiwa ya kaskazin
Bas utabid uandae ndizi nyama
 
mmh hapa sijui ila nnachojua ndumba haingalii umri
kwenye swala la ndoa ni sawa kwa sababu hata wanaume kuna umri ukifika unatamani uwe na mke na familia iliyostable
Agiza chochote ulipo natuma na bank

Ndoa nyingi za skuhz age is number Tu
Bora wamependana na kuheshimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…