Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu,
Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane.
Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa unafanya survey ya gari, ukishachagua model unayotaka, nashauri usikimbilie kulipia hapo hapo. Jipe muda. Lifuatilie hilo gari hata kwa mwezi mmoja au zaidi uone bei yake inavyoshuka.
Mwezi uliopita tulikuwa tunafuatilia Toyota Aqua na ilishuka jumla ya $1,200 tokea tuanze kuifuatilia, ila tulichelewa kidogo kuna mtu akaiwahi.
Hapa ndio maana kuepuka hili, nashauri uwe unafuatilia magari hata matatu (ya muundo ulioutaka) kwa pamoja.
Nakupa mfano hapa (nitatumia BF na gari Mazda Axela) nitajitahidi ku-update bei ya hii gari hadi itakavyokuja kulipiwa.
Jumanne, Tar 01 October.
Alhamis, Tar 03 October.
Jumamosi, Tar 05 October.
Inamaanisha ndani ya siku 5 imepungua zaidi ya laki 3.5 inamaanisha gari ikiendelea kukaa zaidi ya mwezi itashuka maradufu.
Na hapo uhakika wa kupunguziwa $150-200 upo ukiwasiliana nao.
Stay tuned.