Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #61
Nitazicheki baadae hizi.Hilo nililigundua lakini kitu cha msingi ni kuuliza bei Kikomo Mwanzoni maana mara nyingi hata ikishuka hawashuishi bei yao kikomo.
Sema kuna website nimefuatilia wanauza magari bei ndogo sana ukilinganisha na site zingine tena wanaruhusu kulipa kwa awamu hata tatu na gari inakua ipo njiani kuja.
Site zenyewe ni
1. Nikkyo motors
2. Sbi motors
Tatizo la bei za kikomo siku hizi ukianza kuchat unachat na Mbongo Kwahiyo ngumu sana kutoboa.