Ku-save pesa unapotaka kununua gari mtandaoni kutoka Japan

Ku-save pesa unapotaka kununua gari mtandaoni kutoka Japan

Wakuu, tena kuna minor discount.

Jumatano, Tar 09 October.

IMG_0303.jpeg

Iyo miezi mitatu ya kufuatilia gari ili bei ishuke ni kupoteza mda km huna pesa ya kununua gar ni vema ukanunua pikpik maisha yakenda uwo ushauri ni ushauri wa kijinga

Miezi mitatu ulitakiwa tyr uwe unatembelea gar yako ww unatushauri tukae miezi yote iyo tukingoja bei ishuke, tuache kudanganyana huna pesa yakununua gar bas jipange kwa mengne
 
Huu ni mwezi wa 10 yatakiwa kufika mwezi wa 12 niwe naendesha gar yangu ww unanishauri nikae mwezi mzima au zaidi ili kisave dola 200 ad 500 wakat huwo dola yenyewe haieleweke unaweza shangaa bei ya dola ikapanda sasa ntakua nimefanya nn
 
Iyo miezi mitatu ya kufuatilia gari ili bei ishuke ni kupoteza mda km huna pesa ya kununua gar ni vema ukanunua pikpik maisha yakenda uwo ushauri ni ushauri wa kijinga

Miezi mitatu ulitakiwa tyr uwe unatembelea gar yako ww unatushauri tukae miezi yote iyo tukingoja bei ishuke, tuache kudanganyana huna pesa yakununua gar bas jipange kwa mengne
Poa mkuu. Pamoja.
 
Unasave $200 to 500 wakat dunia ya leo mambo hayaeleweki bei za usafirishaji hupanda mda wwte, bei za ukaguzi ubadilika mda wwte change ya dola inapanda mda wwte ata afya zetu nazo ni mbovu mda wwte unaweza kufa
Tuache kudanganyana unataka kununua gar jipange tafuta bajeti ya gar unayotaka kununua nunua huna bajeti yake acha bas
 
Kaka track uwe una update. Ila naomba nikushauri kitu.

Ukiona BF gari imeandikwa 3rd Party usiipe kipaumbele sana kwakua sio mali ya Beforward.
Tabu ya hii model BF ni 3rd party... sijaona ambayo ni yao.
Labda nicheki sbt au kama kuna site mbali na hizo mnarecommend
 
Kaka track uwe una update. Ila naomba nikushauri kitu.

Ukiona BF gari imeandikwa 3rd Party usiipe kipaumbele sana kwakua sio mali ya Beforward.
Kukazia tu Mercedes nyingi na lexus ni 3rd party.... na kiukweli hizo ndo gari pekee napenda toka moyoni.
 
Hao wako mbali mkuu na hawana maneno mengi
Ila china kiboko aisee hata miji yao pollution imepungua sana kwenye miji yao
Jamaa wanafytua magari ya umeme kama wanayataga 😄
Mwaka jana tu wameuza zaidi ya magari milioni 9 daa
Sisi hata battery tu hatuwezi
Najua tunaweza ila siasa na maneno mengi bila vitendo
Hata tukiacha maneno na kuweka vitendo. Bado battery za gari hatuwezi kuunda kk trust me 😀
 
Hata tukiacha maneno na kuweka vitendo. Bado battery za gari hatuwezi kuunda kk trust me 😀
Hakuna kitu kinashindikana boss
Kwa siku hizi hata kampuni ya kichina tunaweza kuwaalika wakaja bongo na tukafanya nao kazi
Zamani kulikuwa na viwanda labda kwa sababu ya wazungu kupambana na rushwa na wizi au wananchi walikuwa bado wana maadili
Hata battery za tochi tuliweza
 
Naomba kujua ,gari za bei ndogo kama hii nayo huwa wanaweza kupunguza?...Kwa kiasi gani kwamfano.
Screenshot_2024-10-17-19-12-17-612_com.microsoft.emmx.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-19-12-17-612_com.microsoft.emmx.jpg
    Screenshot_2024-10-17-19-12-17-612_com.microsoft.emmx.jpg
    250.1 KB · Views: 14
Uchawi mwingine ni kupata USD, exchange rate inazidi kupaa. Kuepuka gharama inabidi uanze kuzikusanya kidogo kidogo.
 
Hilo nililigundua lakini kitu cha msingi ni kuuliza bei Kikomo Mwanzoni maana mara nyingi hata ikishuka hawashuishi bei yao kikomo.

Sema kuna website nimefuatilia wanauza magari bei ndogo sana ukilinganisha na site zingine tena wanaruhusu kulipa kwa awamu hata tatu na gari inakua ipo njiani kuja.
Site zenyewe ni
1. Nikkyo motors
2. Sbi motors
 
Back
Top Bottom