Nitazicheki baadae hizi.Hilo nililigundua lakini kitu cha msingi ni kuuliza bei Kikomo Mwanzoni maana mara nyingi hata ikishuka hawashuishi bei yao kikomo.
Sema kuna website nimefuatilia wanauza magari bei ndogo sana ukilinganisha na site zingine tena wanaruhusu kulipa kwa awamu hata tatu na gari inakua ipo njiani kuja.
Site zenyewe ni
1. Nikkyo motors
2. Sbi motors

Boss watapunguza tu muda unavyoenda. Ila gari la bei kali wanapunguza kwa rate kubwa kuliko bei ndogo. Ila yote yanashuka.Naomba kujua ,gari za bei ndogo kama hii nayo huwa wanaweza kupunguza?...Kwa kiasi gani kwamfano.View attachment 3127960
Hii ni forum nenda fb...utawaokotaKama unahitaji kutengeneza pesa kupitia simu yako smartphone nicheki inbox nikupe maelekezo