haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.
Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi ngumu sana, mana una catch attention kila mahali, hadi mashemeji wanashindwa kuvumilia.
Hata nikivaa nguo za kawida au jikiwa tough bado watu wanapata shida sana, nimeghairi kwenda gym mana nikitengemeza body zaidi ndo itakua shida.
Wenye sura personal watabisha.