Ukiona mwanaume ananza kujisifia hadharani kuwa yey ni handsome bila ya was was wowote ujue kuna tatiz apo 😃😀One man down
He was a good manOne man down
Tangazo limekaa vyema sana ila hujaweka namba ya simu. Wanakuja inbox wapenda warembo.Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.
Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi ngumu sana, mana una catch attention kila mahali, hadi mashemeji wanashindwa kuvumilia.
Hata nikivaa nguo za kawida au jikiwa tough bado watu wanapata shida sana, nimeghairi kwenda gym mana nikitengemeza body zaidi ndo itakua shida.
Wenye sura personal watabisha.
Ma handsome tupo wengi na changamoto kama hzo za madem tunazipata sana lakin kuanzisha Uzi kaka huo ni ushambaNdugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.