Atakunya yeye...na,atajiuzulu tuu subirini ni suala la muda
Ni Mangungu ndiyo amesema hivyo, au!! Maana huyo kiumbe anawamudu vilivyo mashabiki na wanachama wa hiyo timu. Na akiona bado wanazidi tu kumsumbua, haoni kazi kuwaletea tena Manzoki ili kuja kuwapoza.
Dada wa simba ππAtakunya yeye...na,atajiuzulu tuu subirini ni suala la muda