Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Wanawake wengi wanadhan kumkamata mume sharti ujikombeleze kwa wakwe na mawifi au kuwakomoa na kushindana nao.
Kuheshimiana ndo solution bila kuleta ushost wa kuvaa madela sare wala uadui
Mama Mkwe kichomi
Hakuna urafiki Wala ushoga na ndugu wa mume, ndugu wa mume ni kichomi Kikubwa ni kuheshimiana nao tu ukijagombana na ndugu yao urafiki na ushosti Ndio huishia hapo. Hamisa hakuyajua haya. Hiyo Ndio asili ya ndugu wa mume.
 
Wifi sio nduguyo wala mkwe ni wanaafiki mnoi
Wanawake wengi wanadhan kumkamata mume sharti ujikombeleze kwa wakwe na mawifi au kuwakomoa na kushindana nao.
Kuheshimiana ndo solution bila kuleta ushost wa kuvaa madela sare wala uadui
Ila mange kamsuuza vzr tu maana kampa dose moja matataa huko aliko anajuta mpk tumejua kua in victim kaah
Huyu huyu alimwambiaga Zari kuwa Kigoma hatoki boy. Huyu mama ni kama kinyonga anabadilika badilika tu. Usiombe kuwa na mama mkwe kama huyu.
 
Kuna mtu mzuri kwa mange may b wema pekee maana hata mbowe alishatukanwa na mange?mange ana matatizo makubwa ili kujipa afueni anaona bora atukane ovyo. Ni mara ngapi kamtukana mama dai hivyo sidhan kama mama dai anaumia kwa matusi hayo hakuna jipya hapo

Kuna mawifi na wakwe wazuri cha msingi ni kujiheshimu tangu mwanzo hakuna cha kujipendekeza kupita kiwango
Wifi sio nduguyo wala mkwe ni wanaafiki mnoi

Ila mange kamsuuza vzr tu maana kampa dose moja matataa huko aliko anajuta mpk tumejua kua in victim kaah
 
Wifi sio nduguyo wala mkwe ni wanaafiki mnoi

Ila mange kamsuuza vzr tu maana kampa dose moja matataa huko aliko anajuta mpk tumejua kua in victim kaah
Halafu kumbe kwenye ile dozi ya kuongeza mbolea,ndo maana kila mara anaandika kaption kuhusu pharmacy mara panadol,kumbe kila siku anameza ARV.Ndo maana akili yake inawaza madawa na ma Dr tu.
 
Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.

Tukiachana bifu na mama dangote na mobeto juu ya bwana nahis kuna kitu kikubwa tununu kafanya. Familia yote imemgeuka
ALizaa ili mtoto awe asset ya kujipatia ela in vera sidika words. Na sio uongo ni kweli kabisa,acha tu akione cha mtema kuni
 
Sio kwamba anataka amlale, ashaanza kuwaonea wivu hataki kushare na wakwe
 
Halafu kumbe kwenye ile dozi ya kuongeza mbolea,ndo maana kila mara anaandika kaption kuhusu pharmacy mara panadol,kumbe kila siku anameza ARV.Ndo maana akili yake inawaza madawa na ma Dr tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti dosee za pharmacy anajiandikia mwenyewe kaahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…