Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wanawake wengi wanadhan kumkamata mume sharti ujikombeleze kwa wakwe na mawifi au kuwakomoa na kushindana nao.
Kuheshimiana ndo solution bila kuleta ushost wa kuvaa madela sare wala uadui
Kuheshimiana ndo solution bila kuleta ushost wa kuvaa madela sare wala uadui
Mama Mkwe kichomi
Hakuna urafiki Wala ushoga na ndugu wa mume, ndugu wa mume ni kichomi Kikubwa ni kuheshimiana nao tu ukijagombana na ndugu yao urafiki na ushosti Ndio huishia hapo. Hamisa hakuyajua haya. Hiyo Ndio asili ya ndugu wa mume.