Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.

Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
Mange yule muongo sana sio kila anachosema ni kweli yeye silaha yake kubwa ni kuwaita wenzie wana miwaya utadhan aliwapima yeye
 
Yaan akiamua mchafua mtu anatumia kila uongo.Kuna kipindi aliibuka na kuuliza kwann zari mweupe halafu watoto wake weusi, ila saiv akina tiffa weupe kakosa point ya kumbully zari kuhusu mkorogo.
Kuna siku atasema zari ni muathirika lakini hamisa mzima kabisaa
 
Huyu mbibi mswahili sana....sasa hivyo vijembe si ampigie simu mobeto wamalizane huko?!
 
Yaan akiamua mchafua mtu anatumia kila uongo.Kuna kipindi aliibuka na kuuliza kwann zari mweupe halafu watoto wake weusi, ila saiv akina tiffa weupe kakosa point ya kumbully zari kuhusu mkorogo.
Kipindi tiffah amezaliwa walishupalia DNA hatari kwa madai sio mtoto wake sasa eti ni mwanae ila nillan sio wake.cha kushangaza kuna watu wanamwamini kwa asilimia zote
 
Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.

Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nna chuki na wenye hela wepi?!!

Pole sana hunijui Mimi kumbe numbisaa basi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi mbona mange kashanitukana mpk wafuasi wake wamenitus kipindi cha blog yake [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Alishawahi kumsema marehemu Ivan. Baadae akageuza kibao kuwa akiwa na wema kuna ubaya gani ( kuna picha South walionekana pamoja club) yeye anawaona wenzie vichaa wakati na yeye ndio wale wale
 
Hivi na uzee huo huko kwenye mitandao ya kijamii anatafuta nini huyo bibi!! Matokeo yake ndio kama hayo sasa!! Hivi huko kwao hamna wakubwa hata wawanyooshe mama na mwanae?
 
Aisee ni maneno ya mama mkwe wetu hayo au???
 
Yani mlitaka hamisa adai milioni tano kwa mwenzi na mama diamond amchekee tu apo atapewa za uso amekutana na matandale aswa
 
Ile interview ya dj sepetu ilinipa kitu ndo maana nakushauri. Usikubali kuhojiwa tena hizi confession huku mitandaoni sio nzuri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nna chuki na wenye hela wepi?!!

Pole sana hunijui Mimi kumbe numbisaa basi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi mbona mange kashanitukana mpk wafuasi wake wamenitus kipindi cha blog yake [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndo Tanzania yetu ya viwanda hii kisa anaishi marekani baasi kuna watu wameamua kumuabudu kila anachosema kwao ni ukweli
Kipindi tiffah amezaliwa walishupalia DNA hatari kwa madai sio mtoto wake sasa eti ni mwanae ila nillan sio wake.cha kushangaza kuna watu wanamwamini kwa asilimia zote
 
Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.

Tukiachana bifu na mama dangote na mobeto juu ya bwana nahis kuna kitu kikubwa tununu kafanya. Familia yote imemgeuka
Tununu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nani?
 
Kuna wamama mkwe kiburi na jeuri na tabia mbovu bi sandra anasubiri kwa sababu tu huyo mama ni mama wa star anajulikana, mwacheni bibi nillan apovuke mwanae kufanywa vicoba na kile kidomo mfelembe inahusu.
 
ana roho mbaya kama mwili wake tu umekauka kama nae anahangaika juani.
 
Back
Top Bottom