Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Asante kwa information muhimu.Ushawahi kufika mbagala??kuna ugali hadi wa jero,mboga tatu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa information muhimu.Ushawahi kufika mbagala??kuna ugali hadi wa jero,mboga tatu..
Hata mapupu yanaliwa hapa Dar.So mikoani dar ipo hyo kitu . Kuna had supu za ngozi, mishkaki ya 200,
Mbona hili limeanzia Dar? Siku nyingi wanapima sukari na mafuta namna hii.Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.
Kuna kabila moja wanakula wale wadudu jamii ya panzi,sasa bwana mmoja toka hilokabila akasafiri jwenda mkoa X akakuta jamaa wanakula njiwa,akawabeza sana kuwa mnakula tunjiwa tudogo hivi,wakamwambia kati ya njiwana senene kipi kikubwa....
Nilikuwa likizo mkoa Y maduka ya huku kuna hadi kipimo cha sukari ya sh 200,sijajua ni utamaduni au umasikini,yaani rob9 kilo inagawiwa maranne au zaidi kupata hiyo sukari ya 200.
Mafuta ya kula halikadhalika yapo hadi ya 100
Life is good
Sio mbagala dukani kwangu IPO na napimia biskuti na kajiwe kale kadogoUnaumwa wewe labda mbagala sio dar
Mkuu sisi huku mikoani ndio maisha yetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.
Kuna kabila moja wanakula wale wadudu jamii ya panzi,sasa bwana mmoja toka hilokabila akasafiri jwenda mkoa X akakuta jamaa wanakula njiwa,akawabeza sana kuwa mnakula tunjiwa tudogo hivi,wakamwambia kati ya njiwana senene kipi kikubwa....
Nilikuwa likizo mkoa Y maduka ya huku kuna hadi kipimo cha sukari ya sh 200,sijajua ni utamaduni au umasikini,yaani rob9 kilo inagawiwa maranne au zaidi kupata hiyo sukari ya 200.
Mafuta ya kula halikadhalika yapo hadi ya 100
Life is good
Mikoani ndio wapi huko. Mimi nilishangaa kufika Dar watu wanakula utumbo wa kuku tena barabarani wakati kijijini tunawapa mbwa na paka. Dar kuna maisha magumu sana sema tu watu hawataki kuonekana wameshindwa maisha kwa kurudi vijijini.Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.
Kuna kabila moja wanakula wale wadudu jamii ya panzi,sasa bwana mmoja toka hilokabila akasafiri jwenda mkoa X akakuta jamaa wanakula njiwa,akawabeza sana kuwa mnakula tunjiwa tudogo hivi,wakamwambia kati ya njiwana senene kipi kikubwa....
Nilikuwa likizo mkoa Y maduka ya huku kuna hadi kipimo cha sukari ya sh 200,sijajua ni utamaduni au umasikini,yaani rob9 kilo inagawiwa maranne au zaidi kupata hiyo sukari ya 200.
Mafuta ya kula halikadhalika yapo hadi ya 100
Life is good
Siku Moja tembelea kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wadogo nenda migahawa au Kwa jina maarufu hoteli za masankuroni ujionee wali wa jero una kula na unabakiza!Daalam hajuna sukari ya 200