Kuabudu Jiwe Jeusi pale Mecca, Saudi Arabia ni kama kuabudu sanamu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu limezungushiwa urembo wa rangi ya dhahabu katika Msikiti Mkuu wa Mecca (Masjid al-Haram). Kaaba ni eneo la sehemu muhimu sana katika ibada ya Hijja (Kipindi cha sikukuu za Eid Kubwa) na Umra kwa Waislamu, ambapo watu uzunguka jengo hilo la Kaaba mara Saba huku wakigusa kuta za jengo hilo na wengine wakigusa Jiwe Jeusi wakiabudu na kutamka maneno mbalimbali ya dua. Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislamu (Sharia), Waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuingia ndani ya Kaaba (jumba jeusi). Hii ruhusa ni kwa Waislamu tu wanaoruhusiwa kufanya ibada ya Tawaf (zunguka Kaaba) na ibada nyingine zinazohusiana na Hija na Umra. Na sio Waislamu wote wanaoruhusiwa kuingia ndani ya jengo jeusi (kaaba), mara nyingi wanaoruhusiwa ni viongozi wa Kiislamu, wahadhiri wa kiroho, wafanya ibada wa heshima, au mgeni wa heshima tu ambaye anaweza kupokea ruhusa ya kipekee. Katika baadhi ya matukio, wazee wa familia ya Mtume Muhammad (s.a.w.), au watu wa familia ya Ahl al-Bayt, pia wanaweza kupewa ruhusa maalum ya kuingia ndani ya Kaaba kwa heshima. Na hii ni kutokana na hadhi ya eneo na idadi ya watu wanaotamani kuingia humo. Ruhusa ya kuingia ndani ya Kaaba ni nadra, na inatolewa tu wakati maalum, kama kwa waumini wa Hija katika kipindi cha ibada, au wakati wa matukio maalum ya kidini.

Tukirudi kwenye mada yetu, Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi) linadaiwa kuwa ni jiwe lililotumwa kutoka mbinguni na Mungu kwa mujibu wa historia japo Quran haijasema chochote kuhusu jiwe hilo. Hadithi za Kiislamu nje ya maandiko ya Quran zinahusisha jiwe hili kuwa lipo tangu wakati wa Nabi Ibrahim (Ibrahim) na mwanawe Nabi Ismail (Ismail), wakati walipokuwa wakijenga Kaaba katika eneo hilo la Mecca.

Hadithi zinaeleza kwamba jiwe hili lilitumwa kutoka mbinguni kama ishara ya baraka na kama ishara ya umoja kwa Waislamu, japo Uislamu ulianza miaka 600 baada ya Yesu, na jiwe limekuwepo kabla hata ya ujio wa Uislamu.

Nani aliliona jiwe likianguka kutoka mbinguni? Hadithi za Kiislamu hazielezi majina ya watu walioliona au kushuhudia jiwe hili likianguka kutoka mbinguni kwa mara ya kwanza, lakini inaaminika kwamba Nabi Ibrahim (a.s.) na Nabi Ismail (a.s.) walikuwa ni miongoni mwa watu walioshuhudia jiwe hili likitokea mbinguni na baadae kuwekwa kama sehemu ya Kaaba wakati walipokuwa wanajenga nyumba ya ibada ya Mungu.

Kwa mfano, Qur'an inasema kuhusu Ibrahim na Ismail kuagizwa kujenga Kaaba katika sura ya Al-Baqarah (2:125), ambapo Quran inasema:

"Na (kumbuka) wakati ambapo tulifanya nyumba hii (Kaaba) kuwa mahali pa kurudi na pa kupata amani kwa watu. Na chukua mahali pa kusali kutoka kwa Ibrahim. Na tukamwagiza Ibrahim na Ismail, 'Takaseni nyumba yangu kwa ajili ya wale wanaozunguka, wanaoabudu, wanaosujudu.'" (Qur'an 2:125)

Katika Qur'an, hakuna aya inayozungumzia moja kwa moja kuhusu Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi).

Hata hivyo, Hadithi (mashuhuri kutoka kwa Mtume Muhammad) zinaelezea jinsi Al-Hajar al-Aswad lilivyokuwa na umuhimu mkubwa katika ibada ya Waislamu, japo hadithi hizi hazipo kwenye Quran. Kwa mfano, kuna Hadithi inayosema kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.) alisema:

"Jiwe hili (Al-Hajar al-Aswad) ni sehemu ya Jannah (Binguni) na limekuja kutoka huko." (Sahih al-Bukhari)

Katika Hadithi nyingine, Mtume Muhammad (s.a.w.) alielezea jinsi Waislamu wanavyotakiwa kuelekea jiwe hili na kulibusu au kuligusa wakati wanapozunguka Kaaba. Japo sio wote wanaofanikiwa kuligusa jiwe hili, mamia uishia kugusa tu ukuta wa jengo la kaaba

Hadithi za Kiislamu zinasema kuwa jiwe hili mwanzo lilikuwa na rangi ya mangaza ya nuru au tuseme jeupe. Lakini, kutokana na dhambi za wanadamu hasa wanaokwenda kuligusa, rangi ya jiwe hili iligeuka kuwa jeusi. Waumini wengi wa dini ya Uislamu uamini ukigusa jiwe hili na kutubu kwa Mungu basi maombi yako yatasikika au kusamehewa. Jiwe hili limezungushiwa chuma chenye rangi ya fedha, na kushikizwa kwenye pembe ya ukuta wa jengo la Kaaba, na kila mtu anayepata nafasi uligusa.

Lakini Kisayansi, Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi) linachukuliwa kuwa ni jiwe la meteorite au kwa kiswahili "kimondo" kutokana na sifa zake za kipekee. Ingawa hadithi za Kiislamu zinaeleza kuwa jiwe hili lilitoka mbinguni na likaletwa kama baraka, kisayansi, jiwe hili linaonekana kuwa ni meteorite (kimondo) kilichotoka angani.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa kwenye jiwe hili jeusi (Al-Hajar al-Aswad) umeonyesha kuwa jiwe hili lina muundo wa mawe ya volcanic na lina viambato vya madini ya silicon, magnesium, na ferro-magnesia. Hii inaashiria kuwa lina sifa za kimondo cha angani kilichojumuisha mawe ya aina ya volcanic, kama vile mawe ya asteroidi (Mawe ya angani).

Jiwe hili linaonekana kuwa linakubaliana na sifa za meteorites (Vimondo) ambazo mara nyingi ni mawe au vyuma kutoka kwa asteroidi au comets. Meteorites hizi mara nyingi zina madini kidogo ya chuma na viambato vya nickel, na vinaweza kuwa na mabadiliko ya kipekee kutokana na mabadiliko ya joto na shinikizo anga (Atmospheric Pressure) kabla ya kuanguka kwenye uso wa dunia.

Hata kwa upande wa rangi, Sayansi inasemekana jiwe hili limetumika kwa muda mrefu, na kutokana na athari za hewa, maji, na mabadiliko ya kemikali, jiwe hili linaweza kuwa limepata mabadiliko ya rangi kutokana na oxidation (mchakato wa kemikali ambapo metali kama chuma huchanganyika na oksijeni kutoka hewani). Hii inaweza kuongeza rangi yake ya giza zaidi kwa muda mrefu.

Picsart_25-03-28_16-26-39-290.jpg

images (21).jpeg

images (22).jpeg
 
Hiko ni Kimondo kama kile cha mbeya, Mzee wangu kaenda huhiji hapo mwaka huu namuhirumia kapoteza mamilioni ,

Halafu hapo wanavaa mashuka mweupe ,ndani hawavai kitu ,wote unaowaona hapo hawavai chupi

Hilo jiwe muhamad alilipora kutoka kwa wapagani wakikureshi, akaligeuza la waislamu akatungia na uongo kuwa liketoka mbinguni ,mara alijenga ibrahimu, mara Adamu

ili mradi tu yaani

Ukisoma historia nje ya Qurani utaona hapo wapagani wakikureshi walikuwa wanafanyia matambiko kupitia miungu 360 , mkuu wao akiwa Allah , Muhammad aliwapora Hadi huyo Allah

Ulishajiuliza kwanini Allah awepo kabla ya Uislamu ikiwa uislamu umekuja na Muhammad?

Taratibu zote za hao wapagani ndio Muhammad alizichukua na Leo wanazifanya hapo ikiwepo kutupa mawe, kutovaa chupi ,n.k
 
Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu limezungushiwa urembo wa rangi ya dhahabu katika Msikiti Mkuu wa Mecca (Masjid al-Haram). Kaaba ni eneo la sehemu muhimu sana katika ibada ya Hijja (Kipindi cha sikukuu za Eid Kubwa) na Umra kwa Waislamu na watu ambapo watu uzunguka jengo hilo la Kaaba mara Saba huku wakigusa kuta za jengo hilo na wengine wakigusa Jiwe Jeusi wakiabudu na kutamka maneno mbalimbali ya dua. Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislamu (Sharia), Waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuingia ndani ya Kaaba (jumba jeusi). Hii hii ruhusa ni kwa Waislamu tu wanaruhusiwa kufanya ibada ya Tawaf (zunguka Kaaba) na ibada nyingine zinazohusiana na Hija na Umra. Na sio Waislamu wote wanaoruhusiwa kuingia ndani ya jengo jeusi (kaaba), mara nyingi wanaoruhusiwa ni viongozi wa Kiislamu, wahadhiri wa kiroho, wafanya ibada wa heshima, au mgeni wa heshima tu ambaye anaweza kupokea ruhusa ya kipekee kwa kufanya hivyo. Katika baadhi ya matukio, wazee wa familia ya Mtume Muhammad (s.a.w.), au watu wa familia ya Ahl al-Bayt, pia wanaweza kupewa ruhusa maalum ya kuingia ndani ya Kaaba kwa heshima. Na hii ni kutokana na hadhi ya eneo na idadi ya watu wanaotamani kuingia humo. Ruhusa ya kuingia ndani ya Kaaba ni nadra, na inatolewa tu wakati maalum, kama kwa waumini wa Hija katika kipindi cha ibada, au wakati wa matukio maalum ya kidini.

Tukirudi kwenye mada yetu, Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi) linadaiwa kuwa ni jiwe lililotumwa kutoka mbinguni na Mungu kwa mujibu wa historia japo Quran haijasema chochote . Hadithi za Kiislamu nje ya maandiko ya Quran zinahusisha jiwe hili kuwa lipo tangu wakati wa Nabi Ibrahim (Ibrahim) na mwanawe Nabi Ismail (Ismail), wakati walipokuwa wakijenga Kaaba katika eneo hilo la Mecca.

Hadithi zinaeleza kwamba jiwe hili lilitumwa kutoka mbinguni kama ishara ya baraka na kama ishara ya umoja kwa Waislamu, japo Uislamu ulianza miaka 600 baada ya Yesu.

Nani aliliona jiwe likianguka kutoka mbinguni? Hadithi za Kiislamu hazielezi majina ya watu walioliona au kushuhudia jiwe hili likianguka kutoka mbinguni kwa mara ya kwanza, lakini inaaminika kwamba Nabi Ibrahim (a.s.) na Nabi Ismail (a.s.) walikuwa ni miongoni mwa watu walioshuhudia jiwe hili likitokea mbinguni na baadae kuekwa kama sehemu ya Kaaba wakati walipokuwa wanajenga nyumba ya ibada ya Mungu.

Kwa mfano, Qur'an inasema kuhusu Ibrahim na Ismail kuagizwa kujenga Kaaba katika sura ya Al-Baqarah (2:125), ambapo Quran inasema:

Katika Qur'an, hakuna aya moja inayozungumzia moja kwa moja kuhusu Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi).

Hata hivyo, Hadithi (mashuhuri kutoka kwa Mtume Muhammad) zinaelezea jinsi Al-Hajar al-Aswad lilivyokuwa na umuhimu mkubwa katika ibada ya Waislamu. Kwa mfano, kuna Hadithi inayosema kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.) alisema:

Katika Hadithi nyingine, Mtume Muhammad (s.a.w.) alielezea jinsi Waislamu wanavyotakiwa kuelekea jiwe hili na kulibusu au kuligusa wakati wanapozunguka Kaaba. Japo sio wote wanaofanikiwa kuligusa jiwe hili, mamia uishia kugusa tu ukuta wa jengo la kaaba

Hadithi za Kiislamu zinasema kuwa jiwe hili mwanzo lilikuwa na rangi ya mangaza ya nuru au tuseme jeupe. Lakini, kutokana na dhambi za wanadamu hasa wanaokwenda kuligusa, rangi ya jiwe hili iligeuka kuwa jeusi. Waumini wengi wa dini ya Uislamu uamini ukigusa jiwe hili na kutubu kwa Mungu basi maombi yako yatasikika au kusamehewa. Jiwe hili limezungushiwa chuma chenye rangi ya fedha, na kushikizwa kwenye pembe ya ukuta wa jengo la Kaaba, na kila mtu anayepata nafasi uligusa.

Lakini Kisayansi, Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi) linachukuliwa kuwa ni jiwe la meteorite au kimondo kutokana na sifa zake za kipekee. Ingawa hadithi za Kiislamu zinaeleza kuwa jiwe hili lilitoka mbinguni na likaletwa kama baraka, kisayansi, jiwe hili linaonekana kuwa ni meteorite au kimondo kilichotoka angani.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa kwa Al-Hajar al-Aswad umeonyesha kuwa jiwe hili lina muundo wa mawe ya volcanic na lina viambato vya silicon, magnesium, na ferro-magnesia. Hii inaashiria kuwa lina sifa za kimondo cha angani kilichojumuisha mawe ya volcanic, kama vile mawe ya asteroidi.

Jiwe hili linaonekana kuwa linakubaliana na sifa za meteorites ambazo mara nyingi ni mawe au metali kutoka kwa asteroidi au comets. Meteorites hizi mara nyingi zina vidogo vya chuma na viambato vya nickel, na zinaweza kuwa na mabadiliko ya kipekee kutokana na mabadiliko ya joto na shinikizo walilopitia kabla ya kuanguka kwenye uso wa dunia.

Hata kwa upande wa rangi, Sayansi inasemekana jiwe hili limetumika kwa muda mrefu, na kutokana na athari za hewa, maji, na mabadiliko ya kemikali, jiwe hili linaweza kuwa limepata mabadiliko ya rangi kutokana na oxidation (mchakato wa kemikali ambapo metali kama chuma huchanganyika na oksijeni kutoka hewani). Hii inaweza kuongeza rangi yake ya giza zaidi kwa muda mrefu.

View attachment 3285993

View attachment 3285994
View attachment 3285995
Waaabudu mashetani, hilo jini jeusi Kuna kipindi watu hukanyagana hapo mpaka kufa ndio kafara yenyewe hiyo.
 
Embu tupate elimu kidodo kutoka kwa wasomi waliosoma na kuchambua vitabu vizuri wanasemaje
 
Attachments

  • VID-20250326-WA0001.mp4
    43.2 MB
Embu tupate elimu kidodo kutoka kwa wasomi waliosoma na kuchambua vitabu vizuri wanasemaje
Hata kwa wakristo wapo Waislamu kibao na Masheikh waliobadili Dini na kuwa Wakristo
 
Mada za kuchokonoa chokonoa udini zimekuwa ni nyingi sana siku za karibuni!! Kuna kaubaguzi ka kidini kanamea au kanajengwa miongoni mwa Watanzania na hili si jambo jema kabisa!!!

Anyway! Wakati mwingine inabidi tukubaliane na ukweli kuwa; Yote haya yanakuja ikiwa ni matokeo ya kupanuka kwa teknolojia na kukua kwa ufahamu hata binadamu kuweza kuanza kuhoji mambo yalokuwepo miaka na miaka na watu walikosa pa kuulizia!!
 
Back
Top Bottom