Hiko ni Kimondo kama kile cha mbeya, Mzee wangu kaenda huhiji hapo mwaka huu namuhirumia kapoteza mamilioni ,
Halafu hapo wanavaa mashuka mweupe ,ndani hawavai kitu ,wote unaowaona hapo hawavai chupi
Hilo jiwe muhamad alilipora kutoka kwa wapagani wakikureshi, akaligeuza la waislamu akatungia na uongo kuwa liketoka mbinguni ,mara alijenga ibrahimu, mara Adamu
ili mradi tu yaani
Ukisoma historia nje ya Qurani utaona hapo wapagani wakikureshi walikuwa wanafanyia matambiko kupitia miungu 360 , mkuu wao akiwa Allah , Muhammad aliwapora Hadi huyo Allah
Ulishajiuliza kwanini Allah awepo kabla ya Uislamu ikiwa uislamu umekuja na Muhammad?
Taratibu zote za hao wapagani ndio Muhammad alizichukua na Leo wanazifanya hapo ikiwepo kutupa mawe, kutovaa chupi ,n.k