Kuacha kazi kufanya ujasiriamali

Kuacha kazi kufanya ujasiriamali

Hiyo pesa ni nyingi na inatosha kwa biashara ambayo itakuinua sana.
Muhimu badili mtazamo
Pia omba Mungu usipate pressure za watu wenye negative minds
 
Hbr wadau?
Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng mtarajiwa ambae nimekuwa nae mda mref kwenye shida na raha na ajapata kazi tangu ahitimu chuo.
Nimekuwa nikisevu hela kidogo na sasa nimefikisha kiasi cha milion moja. Sasa wadau naombeni ushauri wenu kwa kiasi hiki kidogo nlichonacho shuguli zipi au biashara ipi naeza kufanya (tuachilie mbali kufuga kuku) kwa hapa Dodoma ukizingatia umri unakimbia kwa kasi majukum nayo yanaongezeka. Nafikiria pia niache kazi au hii hela nimfungulie mpnz wng biashara tushirikiane kutafta riziki.
Ushauri wenu wadau.

Yenyewe,

Nimefuatilia mjadala huu wa majibu ya swali lako kwa karibu na kuona kuwa kuna hoja nyingi zilizotolewa ambazo ni muhimu.
Baadhi ya hoja alizotoa Chacha Poultry Farm na KeyserSoze ni nzuri ila inachotakiwa ni ku-strike the right balance katika hoja walizozitoa. Yaani kabla ya kuamua kuacha kazi ya kuajiriwa inatakiwa ujiandae kiakili, kiujuzi na ki-msimamo. Ukiwa na vitu hivi unaweza kufanikiwa hata kwa mtaji mdogo tu.

Article hii (see below) iliandikwa na mwandishi mmoja maarufu:
Why you should not quit your Job and start a business before preparing first:

There seems to be a global “Go-and-quit-your-job” movement going on, which I must have missed somehow. It sort of feels a bit like "Go-and-quit-your-job" fever.

A lot of people out there write and talk about quitting your job and how amazing it is to do your own stuff and be your own boss. The dream!

What these stories usually leave out, are the times when it was rough. When you were down on your knees. When nothing seemed to work out. When you were about to quit.

I know working a job is horrible and it will in many cases make you feel miserable. I felt the same way back in 2013. That's why I decided to quit my job.

Here are a few signs that lead me to quit my job:
  • When my alarm rang in the morning, I didn't feel like getting up. Ten more minutes. Until ten more minutes ended up in half an hour or even more.
  • When I got home from work I didn't have any energy left to do stuff. Doing mind numbing things that were pointless sucked the energy out of me.
  • I felt like I had a lot more potential than this. I felt like this can't be it. I felt like there must be more to life than this.
And a few more things. These are all perfect signs that you don't like your job. That you should even consider quitting your job.Now wait a minute. Didn't the title say that you shouldn't quit your job this year?That's exactly what it says.
But from my own (painful) experience I learned a few things.
If you resent your job, your life, your boss, your colleagues or feel like you're capable of doing great things in your life, I recommend that you don't quit your job before preparing first.

To me quitting your job without testing and seeing how the business is performing sounds like a huge gamble.
It actually sounds like going to Las Vegas, taking all of your life time savings with you, joining a poker table and you you've never even played a second of poker in your life….hoping to win and multiply your life savings!

What I recommend doing instead are some of the things below .These are the skills and things you'll desperately need once you quit your job. I feel that it's a lot better to start working on them when you still have a job (and a regular income):
# SELL. SELL. SELL
If you've never ever sold anything in your entire life it will be pretty tough to learn it while you're also trying to build a product, a service or what it is that you're planning to make money with in the future.
Creating a business and being able to sell products are two entirely different things. Learn both of them (and especially the second one) before you jump right

# LEARN THE TOOLS
These are the skills, knowledge and practical experience of the business you want to do. Start applying these tools to your business while you are still employed. Start doing during the weekend or employ someone on a part time basis to do this business while at the same time keeping a closer eye on how the business is performing.
This is really important especially for people who are made redundant from work. Statistic shows that these people experience less stress because they immediately use these skills to earn their living in a different environment.

# FIND CUSTOMERS FIRST
Before you quit your job, start looking where your customers are. Start building the demand for your product. This way you can easily test whether or not the market really needs and wants your product.
It's a lot easier to actually quit your job once you already have paying customers lined up. And you know your business is not just based on pure assumptions anymore.

# CONFIDENCE FOR FREE
So take every opportunity you get at your current job to get more experienced and gain more confidence. Because you're going to need it when you're on that stage trying to convince people to buy your product or invest in your company.
Take every opportunity to train these skills inside the “safe” environment at your job. Be the guy or gal that does all the extra work people are afraid of.
You can definitely start doing all of this stuff only once you quit your job. But this will take a hell lot of time and take away your focus from many other things.

So if you can work on these things before you actually quit your job why not start working on them right now?
And while you keep your job, you start doing side businesses and see which of the things turns into a profitable one. A business that might allow you to maybe quit your job.
Maybe this year. Maybe next year.
But at least you'll be a lot better prepared for what's to come…..
 
Kwani wakati wa kuacha kazi ni upi? ni wakati umezeeka? ni wakati unapo npewa barua ya kupunguzwa? ni wakati conract inapo isha au,

Wakati wowote unaweza acha kazi, ila ni kwamba kuacha kazi kuna hitaji spirt ya kipekee na ni wachache sana wenye hiyo sprit ya kuacha kazi wengi huishia kusema wakati bado na mwishowe hujikuta wanalazimishwa kuacha kazi kwa nguvu.
Mkuu umenikosha roho yangu sana na usithubutu kuomba ushauri wa kuacha kazi kwa watu wanaofanya kazi,hutakaa uache miaka mia!!!!
 
Miradi tofauti ni ipi? mkuu kama huna spirt hiyo hakika ni ndoto kuacha kazi belive me, watu wengi huwa si kwamba wanaacha kazi ila unakuta huko wameisha hari bu au ndo kama hivyo mkataba umeisha anaamua sasa kuinfia kwenye Dunia nyingine.

Huwezi fanikiwa kibiashara ukiwa vile vile ni mfanya biashara kama kuna mfanya kazi mfanya biashara aliye fanikiwa mtaje, Wewe kuanzisha project inatakiwa uwepo full time na si kuongoza kwa simu,

Ishu ya kuacha kazi na kuingia kwenye biashara inaweza fanywa na watu wa chache sana na wengi wao kikwazo kikubwa ni uoga na si kingine
U r a great thinker mkuu
 
Hbr wadau?
Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng mtarajiwa ambae nimekuwa nae mda mref kwenye shida na raha na ajapata kazi tangu ahitimu chuo.
Nimekuwa nikisevu hela kidogo na sasa nimefikisha kiasi cha milion moja. Sasa wadau naombeni ushauri wenu kwa kiasi hiki kidogo nlichonacho shuguli zipi au biashara ipi naeza kufanya (tuachilie mbali kufuga kuku) kwa hapa Dodoma ukizingatia umri unakimbia kwa kasi majukum nayo yanaongezeka. Nafikiria pia niache kazi au hii hela nimfungulie mpnz wng biashara tushirikiane kutafta riziki.
Ushauri wenu wadau.
Mkuu nitafute whatssap kwa namba hii 0785-074040 nikupe wazo la biashara
 
Nnachojua watu wanasema ukiamua kuweka nguvu yako na akili kwa asilimia 100 lazima ufanikiwe. Mtoa mada milioni kama mtaji ni ndogo pia ni kubwa. Kwanza ulitegemea sana mawazo ya watu tuu na kufanya maamuzi makubwa yatayoleta mabadiliko maishani mwaka aidha kwa mafanikio au hasara. Soma vitabu vya waliofanikiwa upate filosofia zao.
Jiunge na Forever Living na uweke nguvu zako na akili zako asilimia 100 utatoka tuu.
 
Mkuu kujitosa katika kitu chochote bila preparation sio ujasiri bali ni upunguani..., katika kila maisha yako inabidi kuwa na plan B, na kufanya calculated risks.., na hapa tunaongelea miradi na kujiongezea kipato ila wewe unachanganya na running multi million corporations.., hivi kuna ubaya gani kama huyu mtu anavuta mkwanja wa kutosha kazini kwanini asianze kwanza part time (gaining experience) na kufanya investments kwenye vitu kama real estate n.k. vitu ambavyo anaweza kutumia leverage (efforts of others) to make money, pia kufanya investments tofauti (not putting ones eggs in one basket) hence anakuwa ame-hedge risk, baada ya hapo hata atakapoacha kibarua chake will have somewhere to fall upon...,

Akifukuzwa kazi amefukuzwa kazi hio ni part ya maisha sio sababu anaweza kufukuzwa kazi ndio aache kazi leo kabla ya kujitayarisha.., cha maana narudia (kama kazi yako ina kipato cha kutosha) tumia hicho kipato ku-hedge risk kwa investments ndogo ndogo hata utakapoacha kazi kunakuwa na fedha ya kujihifadhi in a rainy day..., sio unaamua kuacha kazi leo wakati hata pesa ya mwenye nyumba hujamalizia kumlipa.



Huu msemo wa kuchoma meli ni just msemo.., huyo jamaa yako alichoma kabisa na vyeti vyake au ?..., sababu anaweza akakwambia hivyo ila deep down when push comes to shove angeweza kuanza kutuma applications tena (if he is employable), pia cha maana ni kwamba aliacha nini na kwenda kufanya nini ? (hapo keyword ni kufanya nini.., sio kuamua kuacha kazi kama CEO fulani alafu kuamua kwenda kuendesha bodaboda yake.., sababu hata hii ni biashara)

Waliotangulia na kuandika vitabu wanasema ukifikia hatua ya kuchoma vyetu vyako basi inamaana umeniambia akili yako ni hiki tuu ndo nakitegemea maishani ili nifanikiwe na utaamka kila siku na kutia bidii zako zote. Ila ukiwa na vyeti kabatini akili itakwambia kuna vyeti kule hata ukikwama unaomba kazi na maisha yataendelea. Hivo hutumii uwezo wako wote ulionao ili ufanikiwe.
 
Mmemsaidia sana muomba msaada kama kuyafuata keshafanikiwa tayari BIASHARA NA KAZI NI VITU VIWILI TOFAUTI cha kumshauri kwanza aplani biashara gani anaipenda na kwanini ukimsoma Robert Kiyosaki anasema yeye na mke wake wakaacha kazi wakarudi zero na kuomba hifandhi kwa rafiki yao pole pole wakaanza kusimama KUACHA KAZI KUNA HITAJI UJASIRI MKUBWA
na huwezi fanikiwa kwa kuwa nusu kazi ya kuajiriwa nusu yako as boss ila chukua muda anzisha na ikuze kidogo huku ukiwa umeisajiri na umejiunga katika saccoss au vikundi then ukiacha ukianza kukomaa baada ya muda mfupi una boost na kimkopo kidogo hapo unahitaji nidhamu ya pesa mkuu kuliko vyote
 
mh suala la kuacha zaki erase ktk akili yako,unaweza mfungulia mamito biashara ikaondoka na mtaji ote utapigaje ukunga!!wadau watakushauri mengi lkn kumbuka biashara na ujasiriamali ni kipaji,kujifunza ,na interest ya mtu binafsi.
 
Mmemsaidia sana muomba msaada kama kuyafuata keshafanikiwa tayari BIASHARA NA KAZI NI VITU VIWILI TOFAUTI cha kumshauri kwanza aplani biashara gani anaipenda na kwanini ukimsoma Robert Kiyosaki anasema yeye na mke wake wakaacha kazi wakarudi zero na kuomba hifandhi kwa rafiki yao pole pole wakaanza kusimama KUACHA KAZI KUNA HITAJI UJASIRI MKUBWA
na huwezi fanikiwa kwa kuwa nusu kazi ya kuajiriwa nusu yako as boss ila chukua muda anzisha na ikuze kidogo huku ukiwa umeisajiri na umejiunga katika saccoss au vikundi then ukiacha ukianza kukomaa baada ya muda mfupi una boost na kimkopo kidogo hapo unahitaji nidhamu ya pesa mkuu kuliko vyote
Umesema kweli
 
Back
Top Bottom