yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Nimekuchek mkuuKwa wale wajasiriamali wanaohitaji kujiunga na group ya WhatsApp kwa masuala ya kijasiriamali nicheki 0762600100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuchek mkuuKwa wale wajasiriamali wanaohitaji kujiunga na group ya WhatsApp kwa masuala ya kijasiriamali nicheki 0762600100
Hbr wadau?
Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng mtarajiwa ambae nimekuwa nae mda mref kwenye shida na raha na ajapata kazi tangu ahitimu chuo.
Nimekuwa nikisevu hela kidogo na sasa nimefikisha kiasi cha milion moja. Sasa wadau naombeni ushauri wenu kwa kiasi hiki kidogo nlichonacho shuguli zipi au biashara ipi naeza kufanya (tuachilie mbali kufuga kuku) kwa hapa Dodoma ukizingatia umri unakimbia kwa kasi majukum nayo yanaongezeka. Nafikiria pia niache kazi au hii hela nimfungulie mpnz wng biashara tushirikiane kutafta riziki.
Ushauri wenu wadau.
Mkuu umenikosha roho yangu sana na usithubutu kuomba ushauri wa kuacha kazi kwa watu wanaofanya kazi,hutakaa uache miaka mia!!!!Kwani wakati wa kuacha kazi ni upi? ni wakati umezeeka? ni wakati unapo npewa barua ya kupunguzwa? ni wakati conract inapo isha au,
Wakati wowote unaweza acha kazi, ila ni kwamba kuacha kazi kuna hitaji spirt ya kipekee na ni wachache sana wenye hiyo sprit ya kuacha kazi wengi huishia kusema wakati bado na mwishowe hujikuta wanalazimishwa kuacha kazi kwa nguvu.
U r a great thinker mkuuMiradi tofauti ni ipi? mkuu kama huna spirt hiyo hakika ni ndoto kuacha kazi belive me, watu wengi huwa si kwamba wanaacha kazi ila unakuta huko wameisha hari bu au ndo kama hivyo mkataba umeisha anaamua sasa kuinfia kwenye Dunia nyingine.
Huwezi fanikiwa kibiashara ukiwa vile vile ni mfanya biashara kama kuna mfanya kazi mfanya biashara aliye fanikiwa mtaje, Wewe kuanzisha project inatakiwa uwepo full time na si kuongoza kwa simu,
Ishu ya kuacha kazi na kuingia kwenye biashara inaweza fanywa na watu wa chache sana na wengi wao kikwazo kikubwa ni uoga na si kingine
Mkuu nitafute whatssap kwa namba hii 0785-074040 nikupe wazo la biasharaHbr wadau?
Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng mtarajiwa ambae nimekuwa nae mda mref kwenye shida na raha na ajapata kazi tangu ahitimu chuo.
Nimekuwa nikisevu hela kidogo na sasa nimefikisha kiasi cha milion moja. Sasa wadau naombeni ushauri wenu kwa kiasi hiki kidogo nlichonacho shuguli zipi au biashara ipi naeza kufanya (tuachilie mbali kufuga kuku) kwa hapa Dodoma ukizingatia umri unakimbia kwa kasi majukum nayo yanaongezeka. Nafikiria pia niache kazi au hii hela nimfungulie mpnz wng biashara tushirikiane kutafta riziki.
Ushauri wenu wadau.
Mkuu kujitosa katika kitu chochote bila preparation sio ujasiri bali ni upunguani..., katika kila maisha yako inabidi kuwa na plan B, na kufanya calculated risks.., na hapa tunaongelea miradi na kujiongezea kipato ila wewe unachanganya na running multi million corporations.., hivi kuna ubaya gani kama huyu mtu anavuta mkwanja wa kutosha kazini kwanini asianze kwanza part time (gaining experience) na kufanya investments kwenye vitu kama real estate n.k. vitu ambavyo anaweza kutumia leverage (efforts of others) to make money, pia kufanya investments tofauti (not putting ones eggs in one basket) hence anakuwa ame-hedge risk, baada ya hapo hata atakapoacha kibarua chake will have somewhere to fall upon...,
Akifukuzwa kazi amefukuzwa kazi hio ni part ya maisha sio sababu anaweza kufukuzwa kazi ndio aache kazi leo kabla ya kujitayarisha.., cha maana narudia (kama kazi yako ina kipato cha kutosha) tumia hicho kipato ku-hedge risk kwa investments ndogo ndogo hata utakapoacha kazi kunakuwa na fedha ya kujihifadhi in a rainy day..., sio unaamua kuacha kazi leo wakati hata pesa ya mwenye nyumba hujamalizia kumlipa.
Huu msemo wa kuchoma meli ni just msemo.., huyo jamaa yako alichoma kabisa na vyeti vyake au ?..., sababu anaweza akakwambia hivyo ila deep down when push comes to shove angeweza kuanza kutuma applications tena (if he is employable), pia cha maana ni kwamba aliacha nini na kwenda kufanya nini ? (hapo keyword ni kufanya nini.., sio kuamua kuacha kazi kama CEO fulani alafu kuamua kwenda kuendesha bodaboda yake.., sababu hata hii ni biashara)
Weka basi hapa tufaidike wengi, au unauza mawazo lolMkuu nitafute whatssap kwa namba hii 0785-074040 nikupe wazo la biashara
Umesema kweliMmemsaidia sana muomba msaada kama kuyafuata keshafanikiwa tayari BIASHARA NA KAZI NI VITU VIWILI TOFAUTI cha kumshauri kwanza aplani biashara gani anaipenda na kwanini ukimsoma Robert Kiyosaki anasema yeye na mke wake wakaacha kazi wakarudi zero na kuomba hifandhi kwa rafiki yao pole pole wakaanza kusimama KUACHA KAZI KUNA HITAJI UJASIRI MKUBWA
na huwezi fanikiwa kwa kuwa nusu kazi ya kuajiriwa nusu yako as boss ila chukua muda anzisha na ikuze kidogo huku ukiwa umeisajiri na umejiunga katika saccoss au vikundi then ukiacha ukianza kukomaa baada ya muda mfupi una boost na kimkopo kidogo hapo unahitaji nidhamu ya pesa mkuu kuliko vyote