Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimeahirishwa mwaka huu tu, na si miaka yote.Sherehe ambazo ilibidi zisiwepo ni za Muungano na Kukimbiza mwenge. Nchi zote duniani hufanya sherehe za uhuru.
Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Ni ngumu kuachana na mwenge sababu kuna makafara ya damu yalitolewa sababu ya mwenge. Forojo Ganze alikufa mara tu baada ya kutoka kukabidhiwa mwenge kuzimu.Hiv kwann hili swala la mwenge limekua gumu kwao kuachana nalo yan ukikutana na huo msafara wa mwenge asee utasema kuna kitu cha msingi kumbe mwenge ama ndo uchaw alouacha mwalimu
Uhuru wa nchi ambayo haipo katika ramani ya dunia! Maskini Tanganyika pamoja na ukweli kuwa una jumla ya watu wapatao 59Mn lakini hadhi yako ya kipekee kama nchi ilifyekelewa mbali, wakati huohuo nchi nduguyo yenye watu wapatao 1.9Mn tu bado anadunda.Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Mwenge ndio kwenye uchawi wa nchii hii kuwapumbaza wa Tanzania..hilo lidude limekaa ishirikina.Hatua inayofuata iwe kuuzima mwenge na kuutupia baharini ,maana hauna faida
Mwenge haujakaa kishirikina, mwenge ni uchawi paseeMwenge ndio kwenye uchawi wa nchii hii kuwapumbaza wa Tanzania..hilo lidude limekaa ishirikina.
#MaendeleoHayanaChama
Mwenge haujakaa kishirikina, mwenge ni uchawi paseeMwenge ndio kwenye uchawi wa nchii hii kuwapumbaza wa Tanzania..hilo lidude limekaa ishirikina.
#MaendeleoHayanaChama
Chakushangaza kila kiongozi anaendeleza huu ushirikina.Mwenge haujakaa kishirikina, mwenge ni uchawi pasee
Uhuru ni muhimu nadhan ingeondolewa hekaheka za mwenge!Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Duh! Naona umefikiri mbali sana mkuu. Yaani mnooSahihi
Sherehe uhuru wa Zanzibar mgeni rasmi huwa raisi wa Zanzibar
Sherehe za uhuru wa Tanganyika mgeni rasmi haeleweki mtanganyika
Raisi wa Muungano sherehe inamhusu ni sherehe ya Muungano
Mama Samia yuko sahihi hadi hapo katiba itakaporekenishwa kwenye hili kuonyesha mhusika mkuu upande wa Tanganyika siku.yao ya uhuru ambaye ni mtanganyika ni nani kikatiba?
Vinginevyo pesa zote za sherehe za uhuru wa Tanganyika ziendelee kupelekwa kwenye miradi mingine iliyopo Tanganyika kama alivyofanya
Ha ha ha!kama unajiona uko huru, nenda kafanye maandamano sasa hivi
Mwenge una Siri nzito, sherehe Apo muungano na mapinduzi ndo sio za muhimuSherehe ambazo ilibidi zisiwepo ni za Muungano na Kukimbiza mwenge. Nchi zote duniani hufanya sherehe za uhuru.