Kuacha kufanyika Maadhimisho ya sherehe za Miaka 61 ya Uhuru ni sahihi?

Kuacha kufanyika Maadhimisho ya sherehe za Miaka 61 ya Uhuru ni sahihi?

Sherehe za Uhuru ni za Tanganyika. Jueni hilo kwanza.
Hata kama ni hivyo lakini ni afadhali pesa zikasaidie mambo muhimu yaliyoainishwa !! Uhuru tulishakuwa nao hata tusipofanya sherehe hakuna atakayetunyang’anya Uhuru wetu !!
 
Kuacha kisherehekea birthday ni sawa?
Sio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !
 
Sherehe kubwa na muhimu kuliko zote kwa taifa au nchi huru ni ile ya kumbukumbu za UHURU.
Huu utamaduni wa kubadili taratibu za kusherehekea uhuru, ulioanzia awamu ya tano unapaswa kuangaliwa upya.
 
Hata kama ni hivyo lakini ni afadhali pesa zikasaidie mambo muhimu yaliyoainishwa !! Uhuru tulishakuwa nao hata tusipofanya sherehe hakuna atakayetunyang’anya Uhuru wetu !!
Exactly na Rais Samia Suluhu baada ya kutambulia hilo ndio maana anaendelea kuimarisha sekta ya elimu, tena kwa watu wenye mahitaji maalumu huu ni zaidi ya upendo
 
Sherehe kubwa na muhimu kuliko zote kwa taifa au nchi huru ni ile ya kumbukumbu za UHURU.
Huu utamaduni wa kubadili taratibu za kusherehekea uhuru, ulioanzia awamu ya tano unapaswa kuangaliwa upya.
Tatizo liko wapi kama mazingira ya kusomea yakiboreshwa kuliko hizo pesa zikatumike na watu wachache siku moja na hazitaludi tena sisi watanzania sijui tunatakaga nini aisee
 
Sahihi

Sherehe uhuru wa Zanzibar mgeni rasmi huwa raisi wa Zanzibar

Sherehe za uhuru wa Tanganyika mgeni rasmi haeleweki mtanganyika

Raisi wa Muungano sherehe inamhusu ni sherehe ya Muungano

Mama Samia yuko sahihi hadi hapo katiba itakaporekenishwa kwenye hili kuonyesha mhusika mkuu upande wa Tanganyika siku.yao ya uhuru ambaye ni mtanganyika ni nani kikatiba?

Vinginevyo pesa zote za sherehe za uhuru wa Tanganyika ziendelee kupelekwa kwenye miradi mingine iliyopo Tanganyika kama alivyofanya
Rais Samia Suluhu yuko sahihi sana tena kazipeleka pesa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu izo pesa zingeliwa na watu wachache lakini kwakua Tanzania ni huru ndio maana amekuwa huru katika maamuzi yake kuhakikisha anaboresha mazingira ya kusomea
 
Raisi watu bana yaani hiyo 900ml ndo anaipelekea huko wakati juzi ameleta mabehewa ya mtumba kwa bei ya mara mbili na bei mpya
Wabongo sijui mnataka nini aisee hayo mapya yanauzwa bei gani njoo na uthibitisho
 
Ha ha ha!
Huwa napenda intelligent comments kama hizi!
Uhuru hakuna! majina fake nyuma ya keyboard maneno kibaoooo!
Uhuru upo mzee ndio maana ata wewe uko huru kucoment hapa isingekuwa ivo ata hayo maneno usingeandika maana ingekulazimu kusifia tu na si vinginevyo lakini sasa tuna uhuru hadi wa kutukana fatilia vizuri
 
Tatizo liko wapi kama mazingira ya kusomea yakiboreshwa kuliko hizo pesa zikatumike na watu wachache siku moja na hazitaludi tena sisi watanzania sijui tunatakaga nini aisee
Kwa nini sherehe ambazo siyo muhimu kama hii hufanyika?
Tungeanza kwa umuhimu basi.
 
Uhuru ni muhimu nadhan ingeondolewa hekaheka za mwenge!
Mwenge una maana kubwa sana katika nchi yetu then mwenge unawakilisha uhuru pia kwaiyo hata hapa ni moja ya kusherekea Rais Samia Suluhu ameona kuliko pesa kuliwa na wachache ni bora ziendelee zipeleke maendeleo kwenye jamii ambayo yatawanufaisha mamilioni ya watanzania kwa miaka mingi zaidi
 
Wapunguze safari, manunuzi na matumizi ya MaV Eighty.

Hiyo Million 900 ni ya MaV Eighty mawili tu. Wasitufanye watanzania ni mazuzu. Aseme hana muda au atakuwa amechoshwa na vikao vya CCM hivyo a ahitaji mapumziko.
Mavi 8.
Ahahaha
 
Sio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !
Exactly umesema vizuri sana lakini pia kuna wale wenye uwezo siku za birthday zao huwa wanaenda kugawa mahitaji kwa wahitaji na hiyo ndio inakua sherehe yao kwaiyo Rais Samia Suluhu ameamua watanzania tushelekee uhuru kwa kuwajengea mabweni wanafunzi wenye uhitaji maalumu kwanza hii ni kama sadaka yani ukiiangalia in postive way
 
Sio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !
Sasa unashangaa nn kwa kuacha kisherehekea siku ya uhuru?
 
Sherehe kubwa na muhimu kuliko zote kwa taifa au nchi huru ni ile ya kumbukumbu za UHURU.
Huu utamaduni wa kubadili taratibu za kusherehekea uhuru, ulioanzia awamu ya tano unapaswa kuangaliwa upya.
Kitu kingine unachotakiwa kujua hatujakatazwa kusherekea so unaweza kusherekea tu kwa kujengwa kwa mabeweni ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu mabweni hayo yatatumika kwa miaka mingi sana ukilinganisha na kutoa hizo pesa zote na kuisha siku moja tu
 
Kwa nini sherehe ambazo siyo muhimu kama hii hufanyika?
Tungeanza kwa umuhimu basi.
Inachotakiwa ukumbuke haimanishi kuboresha mazingira ya kusomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu sherehe sio muhimu hata kujenga kitu cha ukumbusho na cha kuwasaidia wananchi kwa muda mrefu hiyo ni zaidi ya sherehe ndugu yangu na sio Mil 900 kutumika just for one day
 
Kupanga ni kuchagua, na kuchagua huendana na umuhimu.
Kwa nini isiondolewe misafara na mikutano isiyo na tija ambayo kwa ujumla wake hutumia pesa nyingi kuliko hizi za sherehe muhimu?
 
Back
Top Bottom