Hata kama ni hivyo lakini ni afadhali pesa zikasaidie mambo muhimu yaliyoainishwa !! Uhuru tulishakuwa nao hata tusipofanya sherehe hakuna atakayetunyang’anya Uhuru wetu !!Sherehe za Uhuru ni za Tanganyika. Jueni hilo kwanza.
We haujaona umuhimu wa kujengwa kwa mabweni ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu?Sherehe ambazo ilibidi zisiwepo ni za Muungano na Kukimbiza mwenge. Nchi zote duniani hufanya sherehe za uhuru.
Sio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !Kuacha kisherehekea birthday ni sawa?
Hapo sasa !! Swali zuri sana !!We haujaona umuhimu wa kujengwa kwa mabweni ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu?
Utasikia katiba yetu hairuhusukama unajiona uko huru, nenda kafanye maandamano sasa hivi
Exactly na Rais Samia Suluhu baada ya kutambulia hilo ndio maana anaendelea kuimarisha sekta ya elimu, tena kwa watu wenye mahitaji maalumu huu ni zaidi ya upendoHata kama ni hivyo lakini ni afadhali pesa zikasaidie mambo muhimu yaliyoainishwa !! Uhuru tulishakuwa nao hata tusipofanya sherehe hakuna atakayetunyang’anya Uhuru wetu !!
Tatizo liko wapi kama mazingira ya kusomea yakiboreshwa kuliko hizo pesa zikatumike na watu wachache siku moja na hazitaludi tena sisi watanzania sijui tunatakaga nini aiseeSherehe kubwa na muhimu kuliko zote kwa taifa au nchi huru ni ile ya kumbukumbu za UHURU.
Huu utamaduni wa kubadili taratibu za kusherehekea uhuru, ulioanzia awamu ya tano unapaswa kuangaliwa upya.
Rais Samia Suluhu yuko sahihi sana tena kazipeleka pesa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu izo pesa zingeliwa na watu wachache lakini kwakua Tanzania ni huru ndio maana amekuwa huru katika maamuzi yake kuhakikisha anaboresha mazingira ya kusomeaSahihi
Sherehe uhuru wa Zanzibar mgeni rasmi huwa raisi wa Zanzibar
Sherehe za uhuru wa Tanganyika mgeni rasmi haeleweki mtanganyika
Raisi wa Muungano sherehe inamhusu ni sherehe ya Muungano
Mama Samia yuko sahihi hadi hapo katiba itakaporekenishwa kwenye hili kuonyesha mhusika mkuu upande wa Tanganyika siku.yao ya uhuru ambaye ni mtanganyika ni nani kikatiba?
Vinginevyo pesa zote za sherehe za uhuru wa Tanganyika ziendelee kupelekwa kwenye miradi mingine iliyopo Tanganyika kama alivyofanya
Wabongo sijui mnataka nini aisee hayo mapya yanauzwa bei gani njoo na uthibitishoRaisi watu bana yaani hiyo 900ml ndo anaipelekea huko wakati juzi ameleta mabehewa ya mtumba kwa bei ya mara mbili na bei mpya
Uhuru upo mzee ndio maana ata wewe uko huru kucoment hapa isingekuwa ivo ata hayo maneno usingeandika maana ingekulazimu kusifia tu na si vinginevyo lakini sasa tuna uhuru hadi wa kutukana fatilia vizuriHa ha ha!
Huwa napenda intelligent comments kama hizi!
Uhuru hakuna! majina fake nyuma ya keyboard maneno kibaoooo!
Kwa nini sherehe ambazo siyo muhimu kama hii hufanyika?Tatizo liko wapi kama mazingira ya kusomea yakiboreshwa kuliko hizo pesa zikatumike na watu wachache siku moja na hazitaludi tena sisi watanzania sijui tunatakaga nini aisee
Mwenge una maana kubwa sana katika nchi yetu then mwenge unawakilisha uhuru pia kwaiyo hata hapa ni moja ya kusherekea Rais Samia Suluhu ameona kuliko pesa kuliwa na wachache ni bora ziendelee zipeleke maendeleo kwenye jamii ambayo yatawanufaisha mamilioni ya watanzania kwa miaka mingi zaidiUhuru ni muhimu nadhan ingeondolewa hekaheka za mwenge!
Mavi 8.Wapunguze safari, manunuzi na matumizi ya MaV Eighty.
Hiyo Million 900 ni ya MaV Eighty mawili tu. Wasitufanye watanzania ni mazuzu. Aseme hana muda au atakuwa amechoshwa na vikao vya CCM hivyo a ahitaji mapumziko.
Exactly umesema vizuri sana lakini pia kuna wale wenye uwezo siku za birthday zao huwa wanaenda kugawa mahitaji kwa wahitaji na hiyo ndio inakua sherehe yao kwaiyo Rais Samia Suluhu ameamua watanzania tushelekee uhuru kwa kuwajengea mabweni wanafunzi wenye uhitaji maalumu kwanza hii ni kama sadaka yani ukiiangalia in postive waySio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !
Sasa unashangaa nn kwa kuacha kisherehekea siku ya uhuru?Sio kila mtu huwa anasherehekea birthday !! Uliona wapi wazee wetu huko vijijini wakisherehekea ?! Hatusherehekei birthday na maisha yanakwenda kama kawaida !! Birthday ni mambo ya kuja hayakuwepo tangu zama za kale !! Kwa ninavyofahamu mimi lakini ! Huenda nimekosea !
Kitu kingine unachotakiwa kujua hatujakatazwa kusherekea so unaweza kusherekea tu kwa kujengwa kwa mabeweni ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu mabweni hayo yatatumika kwa miaka mingi sana ukilinganisha na kutoa hizo pesa zote na kuisha siku moja tuSherehe kubwa na muhimu kuliko zote kwa taifa au nchi huru ni ile ya kumbukumbu za UHURU.
Huu utamaduni wa kubadili taratibu za kusherehekea uhuru, ulioanzia awamu ya tano unapaswa kuangaliwa upya.
Inachotakiwa ukumbuke haimanishi kuboresha mazingira ya kusomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu sherehe sio muhimu hata kujenga kitu cha ukumbusho na cha kuwasaidia wananchi kwa muda mrefu hiyo ni zaidi ya sherehe ndugu yangu na sio Mil 900 kutumika just for one dayKwa nini sherehe ambazo siyo muhimu kama hii hufanyika?
Tungeanza kwa umuhimu basi.
Kupanga ni kuchagua, na kuchagua huendana na umuhimu.Inachotakiwa ukumbuke haimanishi kuboresha mazingira ya kusomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu sherehe sio muhimu hata kujenga kitu cha ukumbusho na cha kuwasaidia wananchi kwa muda mrefu hiyo ni zaidi ya sherehe ndugu yangu na sio Mil 900 kutumika just for one day