Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kati ya sherehe ya uhuru na mbio za mwenge ipi inayoghalimu pesa nyingi zaidi?Tatizo liko wapi kama mazingira ya kusomea yakiboreshwa kuliko hizo pesa zikatumike na watu wachache siku moja na hazitaludi tena sisi watanzania sijui tunatakaga nini aisee
Kama Kuna lamaana nyuma yake basi sawaMwenge una Siri nzito, sherehe Apo muungano na mapinduzi ndo sio za muhimu
Nia ni nini. Kuokoa billion moja? Mbona hiyo ni sawa na gharama ya magari mawili tu ya mawaziri, makatibu, maDC/RC, wakurugenzi, ma-mayor! au hayo ma V8 yanayoongozana kwenye misafara ya viongozi! So hapa ni kuwahadaa wananchi. Nadhani, kama iko nia njema, basi serikali itoke hadharani ikemee na kujutia maamuzi kwa sababu hii inatuonyesha, waziri mmoja amekalia mabweni manne ya wanafunzi. Rais wa Zambia amenukuliwa akiwaeleza watendaji wake, kama unataka kutembelea V8? nunua ya kwako. Kwa nini uchukue pesa ya kujengea mabweni manne ukawe unaitembelea kwenda kazini na kwenye bar?Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Andamano ovu si lakufumbiwa macho kamwe!!! lazima ugaragazwe kokote pale ulimwengunikama unajiona uko huru, nenda kafanye maandamano sasa hivi
Sishangai kitu naona ni sawa tu pesa ikafanye vitu vya muhimu zaidi kwa sasa. !!Sasa unashangaa nn kwa kuacha kisherehekea siku ya uhuru?
Nambie maan halisi ya mwenge kwa uhalisia husika!!Mwenge una maana kubwa sana katika nchi yetu then mwenge unawakilisha uhuru pia kwaiyo hata hapa ni moja ya kusherekea Rais Samia Suluhu ameona kuliko pesa kuliwa na wachache ni bora ziendelee zipeleke maendeleo kwenye jamii ambayo yatawanufaisha mamilioni ya watanzania kwa miaka mingi zaidi
Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Mbona sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar hazijawahi kuahirishwa na pesa kwenda kujenga skull na hospitali?
Kupuuza sherehe za Uhuru wetu ni kosa kubwa sana. Huku ni kuua U-Taifa! Siku ya Uhuru wa Tanganyika inapotea!
Sherehe ya nchi inayotimiza miaka 61 bila ya ubunifu wowote ni upotezaji wa pesa kwa njia za upigaji ule ule wa miaka yote.Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.
Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema "Rais Samia ameelekeza Sh. milioni 960 zilizopangwa kutumika kwenye maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru, zikajenge mabweni katika shule 8 za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum".
Shule hizo za msingi za wanafunzi wenye mahitaji maalum zitakazojengewa mabweni ni Buhangija- Shinyanga, Goheko - Tabora, Darajani - Singida, Mtanga - Lindi, Songambele - Manyara, Msanzi - Rukwa,
Mungu aendelee kumuweka Rais Smaia Suluhu kwa maendeleo ya taifa letu
Sio kweli kwamba nchi imekabidhiwa mizimu. Tarehe 8 Desemba 1961 siku moja kabla ya uhuru nchi ilikabidhiwa kwa ulinzi wa Mama Bikira Maria na baada ya hapo Mwalimu akaikabidhi tena kwa dua za kiislam.Ni ngumu kuachana na mwenge sababu kuna makafara ya damu yalitolewa sababu ya mwenge. Forojo Ganze alikufa mara tu baada ya kutoka kukabidhiwa mwenge kuzimu.
Nchi imejengwa kwenye misingi ya uwongo, uzinzi, uchawi na ghiliba.
Ibada za mwenge huambatana na ulevi na zinaa