Kuachana kupo ila usimsingizie mwenzio uongo

Hyo tabia wanayosaba wanawake.
 
Anataka usipendwe tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
We utajua namna utajifafanua huko mbele ila mi nitakusema hakuna namna nijipe ubaya
 
Master mind nimeipenda hiyo una akili nying sana
 
Ok
 
Ila wanawake ndio mara nyingi husingizia sana wanaume, ili mradi tu umuoneee huruma. Anaweza hata kusema alitaka kunila tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…