Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

Bongo hakuna kuachana kwa wema lazima tukulaani 😹😹

Mimi ex wangu nishamlaani mpk kizazi chake cha ishirini, hawezi kuniacha kirahisi wakati ananikojoza vizuri.
Na watoto wake wa kike na wajukuu zake wote wafanywe fanywe wapewe mimba wasiolewe.

Na wajukuu zake wa kiume wote wawe mapunga, na yeye mwenyewe akifika uzeeni aolewe na kibabu chochote kile kiwe kinamkaza. 🤣🤣🤣
😂😂😂😂ati anakufanyeje vzurii!!! Eeeh lakn dua la kuku...
 
Ila kuna raha yake kuachana kwa timbwili......

"Nenda mbwaaa wewe wala sikukupenda nilikua nimepata tu pa kutolea upwiru"

"....nyoooo alokwambia anakupenda nani sasa, mwenyewe nlikua nataka tu hela zako hata kutmb hujui nmekaa na wewe miaka mitatu sijawahi hata kukojoa kafie mbele kule"

"na urudishe jeans zote nlizokununulia hata kile kitenge nilimnunulia mamako mwambie nakitaka" asee raha 😁 kwako Atoto unapenda kuachana kwa amani??

Nyie natafuta mpenzi 😔😔 nipo serious.
Uko wapi .....
 
Bongo hakuna kuachana kwa wema lazima tukulaani 😹😹

Mimi ex wangu nishamlaani mpk kizazi chake cha ishirini, hawezi kuniacha kirahisi wakati ananikojoza vizuri.
Na watoto wake wa kike na wajukuu zake wote wafanywe fanywe wapewe mimba wasiolewe.

Na wajukuu zake wa kiume wote wawe mapunga, na yeye mwenyewe akifika uzeeni aolewe na kibabu chochote kile kiwe kinamkaza. 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🙌
 
Kwa hili hapana...

Lolote baya limkute popote alipo .....
 
Back
Top Bottom