Kuachishwa kazi bila kufuatwa taratibu zozote za kisheria

08989

New Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya simu kutoka kwa Moja ya wasimamizi uliohusu kurudisha vitu vyote nilivyowahi kabidhiwa kwamadai ya mkataba wangu umeisha hivyo nisiiingie kazini.

Nilipohoji kwanini na sikupewa taarifa yoyote awali niliambiwa mkataba umeisha hivyo hakuna notisi au barua kwan sipo ndani ya muda wa mkataba.

Kwanzia nianze kazi kwakipindi chote cha miaka miwili siku wahi kusaini mkataba wowote wa maandishi na mwajiri wangu hivyo sikua na fixed term contract.

Nimeenda kuchukua form( no: 1) ya kuanzisha mgogoro CMA na nipo katika hatua za kuijaza .

Ninapopata changamoto ni sehemu zifuatazo :-

1. Outcome of mediation

- Ni sawa kuandika Moja kwa Moja kuwa Mimi nataka fidia kwakuachishwa kazi isivyo halali ? Je kuandika ivi kunaweza kuwa na athari gani ? Na kama fidia ikitolewa inaweza kua labda ya muda gani ?.

2- Other special features/ additional information the commissioner need to note will be about what?.

- Je nisahihi kuandika kuwa nipotayari kuendelea na kazi ila sina Imani tena na mwajiri wangu Kwani tayari hatutakua na mahusiano mazuri hivyo napendekeza uamuzi fidia upewe kipaumbele.

- Pia kupitia maongezii ya kwenye simu sikupewa taarifa yoyote yasababu ya mkataba wangu kuisha .

- Nina vielelezo vyakutosha kudhibitisha kuwa nimewahi kufanya kazi na kampuni hiyo kwa muda wote wa miaka miwili ikiwepo nakala za salary slips na bank statements.
 
Nilipohoji kwanini na sikupewa taarifa yoyote awali niliambiwa mkataba umeisha hivyo hakuna notisi au barua kwan sipo ndani ya muda wa mkataba .

1.Outcome of mediation

-Pia kupitia maongezii ya kwenye simu sikupewa taarifa yoyote yasababu ya mkataba wangu kuisha .

Mawakili wa CMA watakupa muongozo
 
Hii pesa hii,
Bila kujali kama ulikuwa na written contract or not! Ingekuwa vyema kama ungetaja aina ya Taasisi mf shule au na
Pia Je uliajiliwa kama full time or part time.
Ila yote kwa Yote HII NI PESA
 
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya simu kutoka kwa Moja ya wasimamizi uliohusu kurudisha vitu vyote nilivyowahi kabidhiwa kwamadai ya mkataba wangu umeisha hivyo nisiiingie kazini.

Nilipohoji kwanini na sikupewa taarifa yoyote awali niliambiwa mkataba umeisha hivyo hakuna notisi au barua kwan sipo ndani ya muda wa mkataba .

Kwanzia nianze kazi kwakipindi chote cha miaka miwili siku wahi kusaini mkataba wowote wa maandishi na mwajiri wangu hivyo sikua na fixed term contract.

Nimeenda kuchukua form( no: 1) ya kuanzisha mgogoro CMA na nipo katika hatua za kuijaza .

Ninapopata changamoto ni sehemu zifuatazo :-

1.Outcome of mediation
- Ni sawa kuandika Moja kwa Moja kuwa Mimi nataka fidia kwakuachishwa kazi isivyo halali ? Je kuandika ivi kunaweza kuwa na athari gani ? Na kama fidia ikitolewa inaweza kua labda ya muda gani ?.

2- Other special features/ additional information the commissioner need to note will be about what?.
- Je nisahihi kuandika kuwa nipotayari kuendelea na kazi ila sina Imani tena na mwajiri wangu Kwani tayari hatutakua na mahusiano mazuri hivyo napendekeza uamuzi fidia upewe kipaumbele.

-Pia kupitia maongezii ya kwenye simu sikupewa taarifa yoyote yasababu ya mkataba wangu kuisha .
- Nina vielelezo vyakutosha kudhibitisha kuwa nimewahi kufanya kazi na kampuni hiyo kwa muda wote wa miaka miwili ikiwepo nakala za salary slips na bank statements.
Mkuu pole sanaa. Hapo nadhani kikubwa utafute wakili ili usije kukosa haki yako just bcz haufahamu taratibu za kisheria, lakini kimsingu case unayo na unaweza kulipwa vizuri tu kama ukipata wakili makini​
 
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya simu kutoka kwa Moja ya wasimamizi uliohusu kurudisha vitu vyote nilivyowahi kabidhiwa kwamadai ya mkataba wangu umeisha hivyo nisiiingie kazini.

Nilipohoji kwanini na sikupewa taarifa yoyote awali niliambiwa mkataba umeisha hivyo hakuna notisi au barua kwan sipo ndani ya muda wa mkataba.

Kwanzia nianze kazi kwakipindi chote cha miaka miwili siku wahi kusaini mkataba wowote wa maandishi na mwajiri wangu hivyo sikua na fixed term contract.

Nimeenda kuchukua form( no: 1) ya kuanzisha mgogoro CMA na nipo katika hatua za kuijaza .

Ninapopata changamoto ni sehemu zifuatazo :-

1. Outcome of mediation

- Ni sawa kuandika Moja kwa Moja kuwa Mimi nataka fidia kwakuachishwa kazi isivyo halali ? Je kuandika ivi kunaweza kuwa na athari gani ? Na kama fidia ikitolewa inaweza kua labda ya muda gani ?.

2- Other special features/ additional information the commissioner need to note will be about what?.

- Je nisahihi kuandika kuwa nipotayari kuendelea na kazi ila sina Imani tena na mwajiri wangu Kwani tayari hatutakua na mahusiano mazuri hivyo napendekeza uamuzi fidia upewe kipaumbele.

- Pia kupitia maongezii ya kwenye simu sikupewa taarifa yoyote yasababu ya mkataba wangu kuisha .

- Nina vielelezo vyakutosha kudhibitisha kuwa nimewahi kufanya kazi na kampuni hiyo kwa muda wote wa miaka miwili ikiwepo nakala za salary slips na bank statements.
Pole sana kwa changamoto,ila nakushauri utafute Mwanasheria au Wakili mzuri katika masuala ya Kazi/Ajira akupe Muongozo vizuri kwani kuna facts ambazo umeeleza kwa upande wangu naona hazijakaa sawa
 
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya simu kutoka kwa Moja ya wasimamizi uliohusu kurudisha vitu vyote nilivyowahi kabidhiwa kwamadai ya mkataba wangu umeisha hivyo nisiiingie kazini.

Nilipohoji kwanini na sikupewa taarifa yoyote awali niliambiwa mkataba umeisha hivyo hakuna notisi au barua kwan sipo ndani ya muda wa mkataba.

Kwanzia nianze kazi kwakipindi chote cha miaka miwili siku wahi kusaini mkataba wowote wa maandishi na mwajiri wangu hivyo sikua na fixed term contract.

Nimeenda kuchukua form( no: 1) ya kuanzisha mgogoro CMA na nipo katika hatua za kuijaza .

Ninapopata changamoto ni sehemu zifuatazo :-

1. Outcome of mediation

- Ni sawa kuandika Moja kwa Moja kuwa Mimi nataka fidia kwakuachishwa kazi isivyo halali ? Je kuandika ivi kunaweza kuwa na athari gani ? Na kama fidia ikitolewa inaweza kua labda ya muda gani ?.

2- Other special features/ additional information the commissioner need to note will be about what?.

- Je nisahihi kuandika kuwa nipotayari kuendelea na kazi ila sina Imani tena na mwajiri wangu Kwani tayari hatutakua na mahusiano mazuri hivyo napendekeza uamuzi fidia upewe kipaumbele.

- Pia kupitia maongezii ya kwenye simu sikupewa taarifa yoyote yasababu ya mkataba wangu kuisha .

- Nina vielelezo vyakutosha kudhibitisha kuwa nimewahi kufanya kazi na kampuni hiyo kwa muda wote wa miaka miwili ikiwepo nakala za salary slips na bank statements.
ukiwa serious unaweza kuja PM tukafanya kazi
 
Back
Top Bottom