Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

Kweli tupu
Labda nikwambie hisia zangu:
1. Kafutiwa kesi ili apunguze moto wa Katiba Mpya.
2. Kafutiwa kesi ili wammalize kwa namna nyingine.
3. Kafutiwa kesi ili kuwasahaulisha CDM then wapigwe na kitu kizito??

NB: Mbona hawakutokea mahakamani? Mbona utetezi ndo walitoa taarifa na si upande wa mashtaka?

Je, wananchi wataendeleza moto wa Katiba Mpya au Zitto ataendelea na ile biashara yake ya Time Huru ya Uchaguzi??

Nawaza vingi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ety unaijua GPO ,ndio nn GPO ndio nn mkuu wangu ilii nami akinikamataa nami nimuombeee

Dah nimecheka eti GPO [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana... Mbowe hajawi kuwa gaidi!
My point ni kuwa hii kesi itaendelea kuibuka huko mbele ya safari.
Soma vizuri hiyo Nolle Prosequi ya DPP hasa sentensi ya mwisho.
Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.
 
Kwa nini usikiri kuwa kimalkia kinakupa shida kikielewa?
 
Labda nikwambie hisia zangu:
1. Kafutiwa kesi ili apunguze moto wa Katiba Mpya.
2. Kafutiwa kesi ili wammalize kwa namna nyingine.
3. Kafutiwa kesi ili kuwasahaulisha CDM then wapigwe na kitu kizito??

NB: Mbona hawakutokea mahakamani? Mbona utetezi ndo walitoa taarifa na si upande wa mashtaka?

Je, wananchi wataendeleza moto wa Katiba Mpya au Zitto ataendelea na ile biashara yake ya Time Huru ya Uchaguzi??

Nawaza vingi.
Hawakuletwa mahakamani kuepuka hali ambayo ingejitokeza baada ya kesi kufutwa, hakuna anayeumwa. Limetamkwa na wakili wa utetezi kwamba Mbowe anaumwa kwa kuambiwa na bwana jela (Magereza), kama umefuatilia maelezo ya Kibatala ni kwamba hata yeye ameshangaa maelezo ya magereza kwa sababu wao wamekua na wateja wao juzi na jana kwa maandalizi ya utetezi, huko kuumwa hawana taarifa. Kila kitu kilikua planned mkuu.

Kama wangeletwa mahakamani leo, ingebidi FFU wahusike, kitu ambacho kingeweza kuleta madhara ambayo yangezidi kumtesa mama (Chief Hangaya)
 
Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.
Yap... Judge atafadhaika sana. Luteni Urio, Afande Kingazi na Kidando watapata sonona.
Hii kesi ingeisha siku ile ile kwa "No Case To Answer" wangeeleweka vizuri sana.
Tangu mwanzo hawakuwa na kesi ya kujibu!!
 
Hawakuletwa mahakamani kuepuka hali ambayo ingejitokeza baada ya kesi kufutwa, hakuna anayeumwa. Limetamkwa na wakili wa utetezi kwamba Mbowe anaumwa kwa kuambiwa na bwana jela (Magereza), kama umefuatilia maelezo ya Kibatala ni kwamba hata yeye ameshangaa maelezo ya magereza kwa sababu wao wamekua na wateja wao juzi na jana kwa maandalizi ya utetezi, huko kuumwa hawana taarifa. Kila kitu kilikua planned mkuu.

Kama wangeletwa mahakamani leo, ingebidi FFU wahusike, kitu ambacho kingeweza kuleta madhara ambayo yangezidi kumtesa mama (Chief Hangaya)
Maelezo makini sana.
Sasa niwashauri CDM wasijione wameshinda... Wasitumie zile kauli zao za kejeli na dharau.
Wananchi wana uelewa mkubwa sana uliokuzwa kutokana na kesi hii.
Mapambano bado hayajaanza.
 
Back
Top Bottom