Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

Hapana... Mbowe hajawi kuwa gaidi!
My point ni kuwa hii kesi itaendelea kuibuka huko mbele ya safari.
Soma vizuri hiyo Nolle Prosequi ya DPP hasa sentensi ya mwisho.
Kwani jaji ametoa tamko gani Leo pale mahakamani? Maana DPP kaleta maombi na jaji ndiye final say, je Kuna mahala popote jaji kasema wanaachiwa huru kwa masharti fulani??
 
Kwani jaji ametoa tamko gani Leo pale mahakamani? Maana DPP kaleta maombi na jaji ndiye final say, je Kuna mahala popote jaji kasema wanaachiwa huru kwa masharti fulani??
Ooh kumbe...
But all I see is that he isn't free despite being out of prison walls.
 
Hawana huo uwezo. Ni kujifariji tu ili kujikakamua dhidi ya aibu inayowaandama.
Nia ya ccm ni mbaya zaidi ya kawaida. Tatizo nyie mnawachukulia poa kama vile wana utu, macho, akili, hisia za kibinadamu wakati si kweli!!

"Absolute powers corrupt systems absolutely"!
 
msisahau kaombewa na msamaha na viongozi mbali mbali kwa ahadi ya kutorudia kosa ...

msijisahaulishe hilo
 
msisahau kaombewa na msamaha na viongozi mbali mbali kwa ahadi ya kutorudia kosa ...

msijisahaulishe hilo
Hoja ya kijinga sana hii kwa mtu alieamua kusimama kidete mpka mwisho.
 
Hoja ya kijinga sana hii kwa mtu alieamua kusimama kidete mpka mwisho.
anichanganye tu aone
kumbukeni alikutwa ana kesi ya kujibu ila hakuna anayejua kimetokea nini mpaka kesi ikafutwa .

msijisahaulishe
 
anichanganye tu aone
kumbukeni alikutwa ana kesi ya kujibu ila hakuna anayejua kimetokea nini mpaka kesi ikafutwa .

msijisahaulishe
Wajinga nyie siasa za ushindani zimewashinda mnategemea dola. Hopeless kabisa nyie!
 
Habari wadau,

Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa.

Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na hapo hapo nikapata hisia kuwa huenda Mbowe leo ataachiwa.

Baada ya kupata hisia hiyo, nikanyanyuka nikaingia JF na kukutana na breaking news kuwa Mbowe kaachiwa. Hakika nimefurahi mno kwa ushindi huu wa kisiasa alioupata Mbowe,na pia nimeamini hisia za kweli zipo, na zaidi kuna uhusiano wa hisia tunazopata katika nafsi zetu na kinachoendelea katika Ulimwengu wa nje.

Hii si mara yangu ya kwanza kuwaza au kupata hisia juu ya jambo fulani na jambo husika kutokea, ila hili la Mbowe kuachiwa na watesi wake limenigusa mmo na kunifanya ni-share hii experience.

Intuition is real!

Hongera Mbowe na wenzako!

God is great!
Leo Mimi ni tukio la sita kuliwaza halafu baadae ya dk chache likatokea. Surprising ni kwamba nikimwambia mtu haamin
 
Maelezo makini sana.
Sasa niwashauri CDM wasijione wameshinda... Wasitumie zile kauli zao za kejeli na dharau.
Wananchi wana uelewa mkubwa sana uliokuzwa kutokana na kesi hii.
Mapambano bado hayajaanza.
Katiba mpya inahitajika au haihitajiki?
 
Ooh kumbe...
But all I see is that he isn't free despite being out of prison walls.
Duuhh.. we jamaa, hujapenda kabisa kilichotokea. Nimefuatilia comments zako kwenye hili na kusoma between the lines, unaumia sana sema tu unaandika kwa kujificha kwenye kivuli chako mwenyewe. Pole sana mkuu, ndo imeshakua hivyo, watu wako huru bila masharti.
 
Pole mjane wa jiwe
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
 
Back
Top Bottom