Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

Yap... Judge atafadhaika sana. Luteni Urio, Afande Kingazi na Kidando watapata sonona.
Hii kesi ingeisha siku ile ile kwa "No Case To Answer" wangeeleweka vizuri sana.
Tangu mwanzo hawakuwa na kesi ya kujibu!!
Definitely
 
Hakika wamemuabisha sana,dalili zte zimaonesha huwa wanafuata mawlekezo
Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.
 
Back
Top Bottom