Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli tupuπ―β
Labda nikwambie hisia zangu:Kweli tupu
Hebu elezea kidogoTundu Lisu amefanya kazi kubwa sana!
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakua na undugu na mfalme Zumaridi kwa hisia kali.
Cc johnthebaptist Crimea comte YEHODAYAPamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
Kwamba hawa viongozi wa dini wamemuomba mama afute kesi lakini Mbowe na wenzake watatu ni magaidi?VIONGOZI WA DINI HASA SHEIKH MKUU JUMA
Nimeshatolea majibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ety unaijua GPO ,ndio nn GPO ndio nn mkuu wangu ilii nami akinikamataa nami nimuombeee
Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.Hapana... Mbowe hajawi kuwa gaidi!
My point ni kuwa hii kesi itaendelea kuibuka huko mbele ya safari.
Soma vizuri hiyo Nolle Prosequi ya DPP hasa sentensi ya mwisho.
Kwa nini usikiri kuwa kimalkia kinakupa shida kikielewa?Hapana... Mbowe hajawi kuwa gaidi!
My point ni kuwa hii kesi itaendelea kuibuka huko mbele ya safari.
Soma vizuri hiyo Nolle Prosequi ya DPP hasa sentensi ya mwisho.
Hawakuletwa mahakamani kuepuka hali ambayo ingejitokeza baada ya kesi kufutwa, hakuna anayeumwa. Limetamkwa na wakili wa utetezi kwamba Mbowe anaumwa kwa kuambiwa na bwana jela (Magereza), kama umefuatilia maelezo ya Kibatala ni kwamba hata yeye ameshangaa maelezo ya magereza kwa sababu wao wamekua na wateja wao juzi na jana kwa maandalizi ya utetezi, huko kuumwa hawana taarifa. Kila kitu kilikua planned mkuu.Labda nikwambie hisia zangu:
1. Kafutiwa kesi ili apunguze moto wa Katiba Mpya.
2. Kafutiwa kesi ili wammalize kwa namna nyingine.
3. Kafutiwa kesi ili kuwasahaulisha CDM then wapigwe na kitu kizito??
NB: Mbona hawakutokea mahakamani? Mbona utetezi ndo walitoa taarifa na si upande wa mashtaka?
Je, wananchi wataendeleza moto wa Katiba Mpya au Zitto ataendelea na ile biashara yake ya Time Huru ya Uchaguzi??
Nawaza vingi.
Yap... Judge atafadhaika sana. Luteni Urio, Afande Kingazi na Kidando watapata sonona.Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.
Prof wangu alinielekeza kuwa kusoma na kuelewa ndiko kunakoleta maswali zaidi na zaidi.Kwa nini usikiri kuwa kimalkia kinakupa shida kikielewa?
Maelezo makini sana.Hawakuletwa mahakamani kuepuka hali ambayo ingejitokeza baada ya kesi kufutwa, hakuna anayeumwa. Limetamkwa na wakili wa utetezi kwamba Mbowe anaumwa kwa kuambiwa na bwana jela (Magereza), kama umefuatilia maelezo ya Kibatala ni kwamba hata yeye ameshangaa maelezo ya magereza kwa sababu wao wamekua na wateja wao juzi na jana kwa maandalizi ya utetezi, huko kuumwa hawana taarifa. Kila kitu kilikua planned mkuu.
Kama wangeletwa mahakamani leo, ingebidi FFU wahusike, kitu ambacho kingeweza kuleta madhara ambayo yangezidi kumtesa mama (Chief Hangaya)
Hahahaaaa angalia tuu usijeambulia kipondo na baadae ukaitwa jambazi Sugu, lililokuwa linafanya kusanyiko haramu chumbani kwake [emoji12][emoji12]Polisi wametia aibu, sasa kipolisi kikijidai kinanisumbua nakiuliza tu, unaijua GPO?
Daah sijui mamilioni mangapi yamepotea since day one to date..DPP na genge lake wapiga per diem za kutosha sasa wanaiacha hii kesi ya mchongo