Itakua inaibuka kufanya nini wakati ameshakua cleared kwamba hana kesi? Wamemchafulia CV Judge, ndani ya wiki moja anatoa ruling kwamba watuhumiwa wana kesi ya kujibu, anatokea DPP anatoa Nolle prosequi. Hii ni kumpa adhabu Jaji kisaikolojia. Hili wangeliweka vizuri ilikua Judge amalizane na hii kesi siku ile kwa kutamka kwamba hawana kesi ya kujibu, kuliko hivi walivyomfedhehesha.